CHADEMA Mbeya kufanya Uchaguzi leo, wagombea ni zaidi ya 100

ImageUploadedByJamiiForums1407057103.526217.jpg


Sent from my iPhone 5 using JamiiForums
 
wajumbe wanaanza kuingia ukumbini wajumbe ni kumi na moja kila kata. Kata ziko 36 jumlisha kamati tendaji wilaya wanaingia sasa kila kitu amani kabisa

Leta leta maupdates Swamba, achana na hawa wavamizi wa Lb7 ni kawaida yao kuchafua hali ya hewa wakiona kisu kimefika kwenye mfupa.

Walisema Chadema haifanyi uchaguzi, Inamfanya sasa macho yamewatoka pima utafikiri wamewafumania wake zao na Prof K...p....ya!!!!!

BACK TANGANYIKA
 
mwanasheria wa kanda anatoa hutuba fupi na kusisitiza waliozidi miaka 30 hawaruhusiwi bavicha.MBUNGE AMESHAWASIRI UKUMBINI NAYE MJUMBE KIKATIBA NA SIO MGOMBEA
 
Uchaguzi ngazi za bavicha,bawacha na wazee tayari sasa wajumbe wanaingia kuchagua wajumbe kamati tendaji na m/kiti na viongozi wengine wa juu wa wilaya
 
Matokeo mwambigija kashinda tena huku mwenezi akichukua baraka kyabula na mwandishi wa siku nyingi nyanyembe akishinda ujumbe wa kamati tendaji nafasi ya mwenyekiti bavicha kashinda moses mwaifunga na ujumbe mkutano mkuu akishinda bwana fransis
 
Back
Top Bottom