Chadema: Mazungumzo na jk bado hayajaisha

Chadema: Mazungumzo na jk bado hayajaisha

Ni ukweli usiopingika kwamba Chadema wamefanya kila linawezekana ili kufikia mwafaka mwema kwa amani. CCM wasipokubali wakabadili sheria ya mabadiliko ya katiba watanzania na dunia nzima watajua nani ni chanzo cha kuvunjika kwa amani yetu.

Ni serikali mzee sio ccm,ndio mana unaona chadema,nccr,cuf wote wanakwenda nyumbani kwa serikali(ikulu)kuongea na mwenye nyumba,hawaendi chimwaga au lumumba.
 
Back
Top Bottom