CHADEMA Mara yasitisha ziara mkoa mzima

CHADEMA Mara yasitisha ziara mkoa mzima

cheap popularity.

Chadema mkoa wa mara!! Wamesitisha rasmi kwa muda mkutano zote pamoja na harakati zote. Hii nikutokana na msiba mkubwa uliotukumba kama mkoa siku ya leo kutokana na ajali mbaya ya mabasi mawili na zaidi ya abiri 39 kufariki papo hapo pia wamewaomba wadau wao wote wajitokeza kuchangia damu pamoja na mahitaji mbali mbali kwa wale majeruhi waliopo hospitali ya mkoa wa Mara..
 
Kajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe!! Lowasa anafurahi sana
 
Huo ni wajibu wake yeye kama kiongozi wa serikali,pia bado haijasaidia yeye kuyafungia mabasi wakati tayari yameshaua raslimali watu,kwanini asingechukua hatua kabla ya?na kusimamishwa mabasi yote ambayo hayafanyiwi service mara kwa mara na madereva wasiyo wa uhakika?

Sawa ni wajibu wake, ulimsikiza kauli yake aliyoitoa? au mwenzangu nimekupa kitu ambacho hukielewi hata kidogo. Na je ajali hiyo unadhani ilisababishwa na kutofanyiwa.service mabasi hayo ama uchakavu?

Naomba fuatilia vizuri taarifa hii utaelewa vizuri na huenda utajua cha kuchangia katika mada. Sory for this.
 
Poleni sana ndugu jamaa na marafiki kwa msiba huu mkubwa tunamuomba Mungu azipokee roho za marehemu huko mbinguni wapumzike kwa amani Amina!
 
Ajali imetokea mbio za mwenge zikiwa mkoani Mara na mikesha ya muziki usiku kucha kama kawaida,
 
Chadema wanatafuta cheap popularity kwnye roho za watu

Ndugu hata kwenye huu msiba mkubwa namna hii unaendelea na propaganda? Tubadilike kidogo! Roho za marehemu zipate rehema kwa Mungu wapumzike kwa Amani Amina!
 
Back
Top Bottom