Lai Otieno
JF-Expert Member
- Aug 13, 2013
- 311
- 90
Chadema mkoa wa mara!! Wamesitisha rasmi kwa muda mkutano zote pamoja na harakati zote. Hii nikutokana na msiba mkubwa uliotukumba kama mkoa siku ya leo kutokana na ajali mbaya ya mabasi mawili na zaidi ya abiri 39 kufariki papo hapo pia wamewaomba wadau wao wote wajitokeza kuchangia damu pamoja na mahitaji mbali mbali kwa wale majeruhi waliopo hospitali ya mkoa wa Mara..