Chadema Mara Wavuna Millioni 19 na Gari Moja Kwenye Harambee Musoma Mjini.

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Nov 30, 2013
834
0
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mara, Chini ya Mwenyekiti wao Wa Mkoa Bw. Charles Kayele, Wamefanikiwa Kukusanya Tsh. Millioni 19 na Gari Moja aina ya Toyota Mark II Nyeupe Kwa ajili ya Kuimaarisha Chama Mkoani humo Kwa Kuzungukia Majimbo, Kata na Vijiji vyote Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia Mwenyekiti ametaja NMB ACCOUNT No: 30310005914 na M-PESA No: 0753761149 Iliyosajiliwa Kwa Jina la "Chadema Mara". Kwa wale wote Wenye Moyo na Ari ya Kukichangia Chama Wameombwa Kutumia Namba hizo. Pia kwa Mujibu wa Maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Raslimali ya Mkoa wa Mara Bw. Gabriel Taherye Adam, Wamepokea Fedha Keshi Tshs Millioni 5.4 na Gari hilo ambalo tayari limeanza Kwa Kazi ya Kufanya Matangazo ya Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo 23/12/2013 Musoma Mjini. CHADEMA BADO NI BABA LAO! VIONGOZI MIZIGO KWETU NI SUMU YA MAENDELEO YA MTANZANIA.
 

Kihega

JF-Expert Member
Aug 4, 2010
1,339
1,195
Picha tafadhali isije kuwa ni ule mtindo wa watani wetu wa BHIJA MPOLA!
 

The Fixer

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
1,365
2,000
Tatizo wakizipeleka tu mtaa wa ufipa pale Kinondoni na akakabidhiwa Mr Komu zimekwishaa, Watazisikia tu
 

TUKUTUKU

JF-Expert Member
Sep 14, 2010
11,784
2,000
Safi sana makamanda kwa kazi nzuri!
Napenda kutoa wito kwa WanaCHADEMA wenzangu,tujitahidi kuchangia chama chetu ili tuweze kufikia malengo yetu ya mwaka 2014 na 2015!
 

RUTO

Senior Member
Dec 19, 2013
147
0
Chadema weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 

Marire

JF-Expert Member
May 1, 2012
12,065
2,000
kwanini huu uzi haujaonekana kwa mizigo ya Lumumba?
ngoja niwaite
 

Nyange

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
3,474
2,000
hayandiyo tunayo yatarajia na siyo mapandikizi. ya ccm ya kutaka sifa bila sababu. zito sasa yuko manchester wafuasi wake wamfuate huko. shit
 

Eberhard

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,070
2,000
Chama cha CCm..MUSOMA mjini ni dhahiri kimeisha nguvu na haya yamejidhihirisha kweny mkutano...wa hadhara uliofanyika leo msoma kwenhye viwanja vya mkendo shuleni...hakuwa na watu hata kidogo.
 

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
Chama cha CCm..MUSOMA mjini ni dhahiri kimeisha nguvu na haya yamejidhihirisha kweny mkutano...wa hadhara uliofanyika leo msoma kwenhye viwanja vya mkendo shuleni...hakuwa na watu hata kidogo.
Kwani Mwigulu hakuwapa hela za kukodia mafuso kusomba watu sehemu za jirani?
 

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
Ni mjinga tu anaweza kuwaza kuwa ccm iko salama.Ukiona wanahangaika tu na kumtumia Zito angalau asiishe kisiasa napo wanajaribisha tu hawana uhakika kama watafanikiwa
 

Kilasi Mkuu

JF-Expert Member
Nov 25, 2013
2,263
2,000
Chama cha CCm..MUSOMA mjini ni dhahiri kimeisha nguvu na haya yamejidhihirisha kweny mkutano...wa hadhara uliofanyika leo msoma kwenhye viwanja vya mkendo shuleni...hakuwa na watu hata kidogo.
Ha! yanatokea ya Njombe kwa wabena tena.Hii ni hatari.Tatizo wameishiwa mbinu.Wanatumia maarifa ya Mwigulu anaye waza na kuota chadematu.hata anapo nchangia bungeni lazima aikumbuke chadema.CCM anaanza anaisahau
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom