Kamanda Francis
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 834
- 140
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoani Mara, Chini ya Mwenyekiti wao Wa Mkoa Bw. Charles Kayele, Wamefanikiwa Kukusanya Tsh. Millioni 19 na Gari Moja aina ya Toyota Mark II Nyeupe Kwa ajili ya Kuimaarisha Chama Mkoani humo Kwa Kuzungukia Majimbo, Kata na Vijiji vyote Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Pia Mwenyekiti ametaja NMB ACCOUNT No: 30310005914 na M-PESA No: 0753761149 Iliyosajiliwa Kwa Jina la "Chadema Mara". Kwa wale wote Wenye Moyo na Ari ya Kukichangia Chama Wameombwa Kutumia Namba hizo. Pia kwa Mujibu wa Maelezo ya Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Raslimali ya Mkoa wa Mara Bw. Gabriel Taherye Adam, Wamepokea Fedha Keshi Tshs Millioni 5.4 na Gari hilo ambalo tayari limeanza Kwa Kazi ya Kufanya Matangazo ya Mkutano wa Hadhara uliofanyika leo 23/12/2013 Musoma Mjini. CHADEMA BADO NI BABA LAO! VIONGOZI MIZIGO KWETU NI SUMU YA MAENDELEO YA MTANZANIA.