Uchaguzi 2020 CHADEMA, Makene akiweka video zote mikutano ya kampeni live mtakata tamaa na kampeni

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
 
Halafu hizo picha hewa wanarushiana chap chap ma group ya watsap kutiana moyo badala ya kurushiana picha halisia ili washauriane kwenye groups nini kifanyike lakini kuna sababu wanaogopa mimi pia niko group la watsap la Chadema wanajua mikakati ita leak!!
 
ndugu zangu,

hili la chadema kumnyooshea kidole Makene si sawa, ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Kwani hiyo mikutano ya CDM wewe huwa unaangalia kupitia TBC au Channel 10?
 
Jikite kwenye hoja
Kukiwa na nyomi mnasema siyo kigezo cha ushindi, mara hawajajiandikisha! Angalia usijisahau pia, kanuni za ccm, viti maalumu wanatakiwa kuwapigia kampeni wagombea halisi! Ukijisahau kwenye umbea huko, angalia kwenu kusidode!
 
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Nani ataenda kutozwa sadaka kwa lazima?
Sadaka zenyewe hata matumizi au maapato yake hatuambiwiiiii.
 
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.

Chama chako hakipendwi ndio maana mnatumia tume ya uchaguzi kuengua wagombea kwa nguvu
 
Sasa wakiwa wachache so ndio furaha kwenu mkuu? Mbona ni kama unaumia sana?
 
Ungekuwa na Akili ungejadili Ilani za Vyama hapa na si wingi ama uchache wa watu kwenye kampeni.

Watu kama nyie ndio mnaosababisha umasikini mkubwa kwenye hii nchi.

Mnaharibu taswira ya JF.
 
Ndugu zangu,

Hili la CHADEMA kumnyooshea kidole Makene si sawa. Ieleweke kuwa kuna picha na video zingine anazuia zisiende kwa umma kimkakati kwani hali ya mahudhurio huwa ni mbaya.

Akiweka kila kitu msianze kulaumu na kukata tamaaa, ndio maana baadhi ya viongozi wameteuliwa kutengeneza picha ili angalau kubakiza matumaini ya makamanda.

Tusimtupie Makene mawe asiyostahili.
Vp zile za mwananchi, Millard ayo, global online etc, nazo zimetengenezwa na chadema?

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom