chadema makao makuu mmeitelekeza chadema singida

chadema makao makuu mmeitelekeza chadema singida

naomba viongozi wa chadema makao makuu muifuatilie chadema mkoa wa singida na wilaya zake kwani ni kama wametelekezwa na hawajui waende wapi?wanachadema wanahangaika wenyewe kufungua matawi ila hawana sapoti.wanyaturu na wanyiramba mlioko jf changieni chama hakina ofisi ya mkoa wala wilaya. tarafa ya mtinko wameshapata ofisi na kuna wanachama kibao.nawaomba viongozi wa kitaifa waende singida kuhamasisha kwani mkoa kwa jumla wapo tayari kwa ajili ya kuimaliza ccm huko.

Tunaposema Chadema ni chama cha Ukanda na Ukabila hamuelewi.

Nyie mpo kanda ya kati hampo kwenye vipaumbele vyao. Wao walimtaka Tundu Lisu tu pale Singida wengine mlie tu

Kuthibitisha hilo hata kampeni zao wanapita mle mle. Arusha, Moshi, mara, Mwanza,Shinyanga, Bukoba na kidogo sana kule Kigoma.

Singida mlie tu.
 
Wajapan wamejiandaa sana kwa majanga kama haya. Kadi au ua la pole tu lilikuwa linatosha. Mengi hawezi kufiwa nikapeleka elfu 2 yangu pale. Nitahudhuria msiba na kumwaga mchozi tu inatosha.
another idiot.
 
Ndugu yangu mimi ni kati ya wanaokerwa na tabia ya CDM makao makuu, Binafsi mi Mcdm damu ila nakosa hata wa kumshirikisha feelings zangu kukijenga chama chetu, hakika tukiendelea kuwa na ugumu wa kuwafikia wananchi tutasahaulika kabla ya 2015, nashukuru kwa mada hii na niendelee kukuunga mkono kuwa wanyaturu na wanyiramba ndani na nje ya sgd hatulali mpk kieleweke.

Chadema kina wenyewe hicho.

Kwani singida ipo kanda ya mashariki au kanda ya ziwa
 
Huyu ni juha, je unajuwa CHADEMA imesaidiwa dollar ngapi na wahisani kutoka nje? wao kutoa dollar 2000 ni pesa ndogo sana, hiyo ni ishara ya kuonesha wanajari na wameguswa na janga la wenzetu wa Japan, this we call a SOLIDARITY. haya hiyo serikali yako inayopokea mipesa kila siku kutoka Japan wametoa nini? usiwe mvivu wa kufikiri.

Hapo saigon umeonyesha kuwa umekua na hekima unayo, tafadhali kakomboe kata au jimbo lako kupitia CDM 2015, mimi nitafanya hivyo.
 
Hapo saigon umeonyesha kuwa umekua na hekima unayo, tafadhali kakomboe kata au jimbo lako kupitia CDM 2015, mimi nitafanya hivyo.

Wewe una wazimu kweli yaani mimi niishi kata inayotawaliwa na CCM! mimi kata yangu diwani CHADEMA mbunge CHADEMA kasoro huyu Vasco Da Gama ndio katibuwa fomular baada ya kuchakachuwa, na kuonesha kwamba yey ni bingwa wa kuchakachuwa sasa hivi lile jina lake maarufu ukiliandika humu halitokei badala yake utaona zimewekwa nyota. i hate JF mods.
 
Nyie wanyampaa itakula kwenu,kwani chadema sio chama makini kabisa na hakina mpango wa kufungua ofisi kabisa,we jiulize hiki chama kina miaka mingapi tangu kianzishwe? Si chini ya miaka kumi na tano lakini wana ofisi ngapi? Pale bukoba ofisi iko kwenye contena ambalo liko barabarani kabisa na nadhani litkuwa lishapitiwa naalama x ya magufuli,moshi kwenyewe wanakojisifu ndio nyumbani ofisi ziko hoteli ya keys(zinazomilikiwa na ndesamburo) sasa hiki ni chama kinazidiwa hata na ngo's,kweli siasa ya chadema imejaa ubabaishaji
 
Ndugu inaonekana wewe tangu uzaliwe haujawahi kusafiri nje ya nchi yako, maana yake ni mbumbumbu, mimi nimetembelea na kuishi U.S.A, UK na South Africa hutokaa uone bendera wala ofisi za vyama husika kwenye nchi hizo isipokuwa makao makuu tu ya vyama vyao, siasa ni itikadi inatkiwa ikae moyoni mwa mtu na sio utitiri wa mashina ya wakereketwa, huo ni uzuzu.
 
Kupitia JF na vikundi vya wana sgd Mhe. Lissu aitishe kongamano la wana sgd walioko dar aone kama hatapata mchango wa hali na mali ili mradi kukijenga chama.
well wazo zur wakwetu, pamoja na hali ngumu tuliyonayo lkn mwamko ni mkubwa sana, wana imani sana na cdm kuliko wengine wanavyofikiria, nilitembelea ikungi,mahambe na ihanja kabla ya uchaguzi mkuu watu walikua tofaut na nilivyo dhani. kwa sasa wananchi wengi wanajua siasa ni nini hii inatokana na elimu inayotolewa na cdm kupitia kwa wabunge wake, natarajia mengi tu yatakuja wananchi wameamka sasa wanajua kutunza kumbukumbu kitu ambacho hapo mwanzo hakikuwepo. Na nadhani hii si kwa sgd tu bali nchi zima kwa maeneo ya vijijini. Sin kama huyo jamaa anaesema kinondoni. Wajefya.
 
wanyampaa kazeni buti.mimi nilikuwa sigida cdm inakubalika ile mbaya nakuomba tundu lisu kama upo ni pm nikupe data.
watu wanasubiri kadi na bendera.matawi yapo kibao.2015 nyalandu nje.
pipozxzzzzz.pawaaaaaa.
 
Ndugu inaonekana wewe tangu uzaliwe haujawahi kusafiri nje ya nchi yako, maana yake ni mbumbumbu, mimi nimetembelea na kuishi U.S.A, UK na South Africa hutokaa uone bendera wala ofisi za vyama husika kwenye nchi hizo isipokuwa makao makuu tu ya vyama vyao, siasa ni itikadi inatkiwa ikae moyoni mwa mtu na sio utitiri wa mashina ya wakereketwa, huo ni uzuzu.

haya bwana wewe uliyetembea,inaonekana ulivyomfinyu wa akili wanaume hatujisifu kutembea ndugu utachekwa! kwahiyo kwa tasfiri yako ambao hatujatoka nje ya nchi ni mbumbumbu ama kweli Tz bado inahitaji kuelimisha watu wake,nyie ndio wale ambao bado mnaamini mtu anayeongea kiingereza basi ni msomi! anyway katika post yangu hapo sijui nimeandika neno bendera wapi? au ndio unakurupuka?
 
Nimekushika pabaya eheeee! hapa ndio JF usijifanye analyst wakati hakuna unalolijuwa, siasa za kisayansi haziitaji matawi kila sehemu, hiyo ni stlye ya chama chenu CCM, dunia imebadilika hata hapa JF wanachadema wakiamuwa wanaanzisha tawi lao na watafanya siasa zao online, mapinduzi ya Tunisia yalifanikiwa kwa kutumia Facebook na twiter, sasa wewe unataka kuturudisha enzi ya ujima kwamba watu wajenge makaburi kila sehemu ( vijiwe vya wakereketwa ) hayo nenda kawashauri CCM wenzako.
 
Back
Top Bottom