CHADEMA machoni mwa jamii ya watanzania

CHADEMA machoni mwa jamii ya watanzania

Chadema ni sacoss ya familia na yeyote atakaejifanya kuingilia maslahi ya familia lazima aonje joto ya jiwe.
 
Kamanda hauwezi kupinga kuwa Chadema kuna uhasama wa kisiasa kati ya Zitto na kundi la Mbowe na Dr.Slaa.

Uhasama upo tena mkubwa sana tena wengine wanatuonyesha waziwazi hapahapa jukwaani sijui huko kwenye mikutano yao niaje.
 
Kwa akili yako tofauti ya mitazamo kati ya viongozi ndio chama kimekosa dira, ni wapi viongozi wa chadema wamefundisha vijana kutotii sheria za nchi ? hiv sheria za nchi unazijua kweli wewe? au umesahau kwa kuwa umebwia unga? majib please
Kamanda! Unaishi Tanzania kweli, kila siku Dr. Slaa na Mbowe wanawambia wafuasi wao waandamane bila kibali na wao wanasema wataakikisha nchi haitawaliki.
 
bila shaka hata mh Zitto mwenyewe ana kushangaa kwa kuropoka.

kila chama kina mipango yake.
Kwa taarifa yako utawagombanisha wajinga tuu.
Uchaguzi wa Chadema ulikuwa ufanyike Novemba na Desemba mwaka huu, wewe upo upande gani wa Zitto au Mbowe?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa chadema kimefifia sana zile nguvu walizokuwa wakijilabu hazionekani tena ,mvuto umepotea ,wamebaki hapa JF tu wakijaribu kusifiana wenyewe kwa wenyewe ,mi nilijua tokea zamani kuwa hiki si chama.
Chadema wameishapoteza mwelekeo wamebakia kudandia matukio na kuyatolea matamko.

Watu wameshangaa kumsikia Dr.Slaa kuungana na Kagame kumshambulia Rais Kikwete.
 
Vijana wa Chadema kutoka mikoa mbali mbali isipokuwa maeneo ya kaskazini, wameapa na kuweka wazi kuwa hawatakubali yaliyotokea mwaka 2009 kukwata jina lake kugombea Uenyekiti.

Unaongelea vijana gani? sisi wazalendo wa nji hii au wale buk 7 wa lumumba? CDM 4 LIFE
 
Kumbukumbu zangu zinanijuza habari ya 4 bila hapo arusha,sasa wewe unapokuja na ngonjera za kitoto unaonekana zuzu.kwa taarifa yako huku kanda ya ziwa chadema ni nouma,2015 hatubakizi mbunge hata 1 gamba.magamba wote tunachinjia baharini.pole sana gamba kwa kutojitambua!
 
Uhasama upo tena mkubwa sana tena wengine wanatuonyesha waziwazi hapahapa jukwaani sijui huko kwenye mikutano yao niaje.
Tunasubiri uchaguzi wa chama Zitto hawezi kukubali tena kujitoa wakati kafanya kazi kubwa ya kujenga na kuimalisha chama hicho.
 
Kumbukumbu zangu zinanijuza habari ya 4 bila hapo arusha,sasa wewe unapokuja na ngonjera za kitoto unaonekana zuzu.kwa taarifa yako huku kanda ya ziwa chadema ni nouma,2015 hatubakizi mbunge hata 1 gamba.magamba wote tunachinjia baharini.pole sana gamba kwa kutojitambua!
Kamanda! Acha kujidanganya kanda ya ziwa wapi? Wakati Ilemela na Nyamagana watu wameishawachoka wabunge wa Chadem.
 
Mhhh, hapa ni utamu wa nini anasikia? Muziki, Green and Yellow au M-bamia wa Jamaa? Kweli CCM raha jamani, utaaamu.

attachment.php
 
Unaongelea vijana gani? sisi wazalendo wa nji hii au wale buk 7 wa lumumba? CDM 4 LIFE
Mtu yeyote akikusoma anajua kabisa wewe ni BAVICHA kaskazini.
 
Tunasubiri uchaguzi wa chama Zitto hawezi kukubali tena kujitoa wakati kafanya kazi kubwa ya kujenga na kuimalisha chama hicho.

Hapo ndio patakapochimbika sasa.
 
Wanaukumbi.

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambacho sasa hivi kipo chini ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Katibu Mkuu Dr. Slaa, kinazidi kupoteza dira na mwelekeo wake wa asili, na hivyo kuharibu sifa za chama hicho kama kilivyosifiwa na Mwalimu Nyerere enzi za uhai wake.

Badala ya kuwa chama cha siasa kinachotumia hoja na ustarabu kutafuta ushawishi kwa umma, Chadema ya sasa imegeuka kuwa chama cha kiharakati kisichoheshimu hata mamlaka ya nchi kwa mtindo huu Chadema hakiwezi kufika popote kama chama cha siasa, lazima Mbowe na Dr. Slaa waambiwe ukweli, kimsimamo wapo tofauti na Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zitto Kabwe, ambao ni miongoni mwa makada wachache wazalendo na watiifu.

Zitto, ambaye ana kundi kubwa la vijana pamoja na baadhi ya wazee amekuwa akitengwa kushiriki kwenye kazi za chama kama vile operesheni za vuguvugu za M4C, operesheni Sangara, toka kumalizika kwa uchaguzi mwaka 2010, Zitto amekuwa akitofautina na misimamo kadhaa ya chama chake, ambayo inaonekana siyo ya kisiasa ni ya kiharakati zaidi. kama suala la kumtabua rais Kikwete kama rais halali wa Tanzania, na mwaka 2010 Dr. Slaa, hata wabunge wenzake walipoweka azimio la kususia hotuba ya rais bungeni kutoka nje, Zitto aliamua kujitenga nao, viongozi wa Chadema nao wanazidi kumtenga Zitto, hata majuzi walipopata mwaliko Ikulu kutoka kwa rais Kikwete, kujadili masuala ya katiba walienda peke yao, suala la ukaguzi wa mahesabu ya vyama vya siasa ambalo linafuatliwa na Kamati ya Bunge ya Mahesabu ya serikali PAC, Chadema wanaona kama ni suala la Zitto.

Chadema sasa imeshindwa kuwajenga vijana kuwa na moyo wa uzalendo wa nchi yao, na badala yake imekuwa ikiwahamasisha kuvuruga misingi ya uzalendo na kutotii sharia na mamlaka zilizopo, pia wengi wa wabunge wa Chadema ni watiifu kwa Mbowe na Dr. Slaa, ni wale wanaodaiwa kuingia ndani ya chama kwa lengo la kusaka ubunge tu, na maslahi huku wakiwa hawana historia yoyote ya mchango wao wa kujenga chama.

Hali hii ndiyo imefanya Chadema sasa ionekane machoni mwa jamii ya watanzania kama chama cha vurugu na ubabe, hali inawafanya pia wananchi wasite kukiamini kwa kukikabidhi madaraka makubwa ya kuongoza dola.

Nakuunga MKONO kabisa hapo CHADEMA kweli kimepoteza MWELEKEO kilipata sifa toka kwa Mwl. NYERERE lakini sasa hivi embu angalia... Kina Jali MAFISADI; Ndugu na Familia zao wako kwenye kuuza UNGA na ni Matajiri haswa...

Angalia CHADEMA ni CHAMA CHA UPINZANI BUNGENI lakini hakijaulizia zile pesa za RADAR zilikwenda wapi baada ya krudishwa nchini... sio kwenye ELIMU sababu elimu yetu imeanguka

Yeah, VIJANA CHADEMA hawatengei Mafungu ya kuwaendeleaza; Mfano AJIRA viwanda vya serikali vyote viliuzwa kwa MARAFIKI; NDUGU na JAMAA na haivikurudi kwenye AJIRA na UZALISHAJI

CHADEMA haikuona hayo isipokuwa after the fact... class struggle... for those who have and those who have not... the GAP is widening kiasi kwamba kila secta - DINI; KABILA; KOO; wanatafuta njia za kujisitiri...
 
LiCCM ni liCCM tu cheki linavyovuja povu......
 
Ruzuku yote wanagawana Dr.Slaa na Mbowe, wananunua majumba Dubai, Ulaya, South Afrika, wanakopeshana pesa za ruzuku.
 
Pole nadhani umesahau kuwa usisubiri haki ikufuate, itafute...! mtatapatapa sana mwisho wenu huoo unakuja....!
 
Back
Top Bottom