CHADEMA: Lowassa ni kiongozi mwenye kuthubutu

CHADEMA: Lowassa ni kiongozi mwenye kuthubutu

Ufirauni wake wa Richmond unausafisha na magadi ya wapi?

Mbona hataki kusema asili ya utajiri wake kama ni mtu safi?

Watafute wendawazimu ukawaambie hizi hadithi. Honestly we dont need your cheap propaganda here. Naomba utuache tuna masuala makubwa na ya maana ya kujadili badala ya kutuletea jizi, fisadi liabudu rushwa lingine hapa. Bado tunahangaika na madonda ya li kikwete. unaleta lingine tena. Tafadhili. mtafutieni kakoloni kengine labda komoro.

Noamba tena uishie kabla sijabadilisha lugha.

Lowassa sio mwenye Richmond tuache chuki! Gamba la Richmond alishamrudishia mwenyewe! Inawezekana akawa fisadi lakini sio ufisadi wa Richmond, muhusika wa Richmond/mwenye Richmond ni Mpangaji wa Ikulu ya Magogoni!
 
Mungu gani unayemsema? Kwa nini huongelei habari za richmond? Ninyin wenye mizani ya hila ndiyo manabii vipofu kama waliomtabiria Ahabu akaendakufa. Mnaleta laana juu ya uso wa nchi. Kwa nini hujibu hoja kwamba lowasa ni fisadi, mpenda rushwa na hana uzalendo unakimbilia kutaja miungu yako? Sasa utaona miungu yako inayoasisiwa na rushwa ufisadi, uwongo na wizi wa lowasa kwamba ni miungu mifu!.

Aisee kaa mbali nami, Sisemi na watu vipofu wa rohoni na vichwa hoho kama wewe.
Tabby huyu mzee alikukosea nini!!!!? Maana comments zako zinaonyesha ulivyo na ghadhabu inawezekana hata mawe unarusha. Au wewe ni kati ya wale wanaoutaka U presidaa hivyo nyongo inashuka unapoona Edo anazidi kuwa tishio!! Nina wasiwasi wewe ni Muheshimiwa fulani ila unatumia Id fake.
Sasa amini nakuambia LOWASA ni MUSA ajaye. Pia tambua kuwa ana nguvu za mungu hata kama wapo wachache kama wewe wasiokubali.
Nikushauri tu kuwa usighadhabike eti kwasababu mimi naeleza kile ninachokiamini na ninachokiona.

KAZI YA LOWASA ALIYOFANYA INAONEKANA KWA MACHO. FAMILIA MASIKINI NDIO HASA LEO WANAWEZA KUKUPA JIBU KUHUSU KAZI YAKE, WATOTO WAO WANAPATA NAFASI ZA KUSOMA. LEO HII WANANCHI WA SHY NA KAHAMA NDIO WANAOWEZA KUKUELEZA ALICHOFANYA HUYU MHESHIMIWA. WALIKUWA WANAKUNYWA MAJI YA MADIMBWI NA HAWAKUFIKIRI KAMA IPO SIKU WATAKUNYWA MAJI SAFI. Pia wanaojua nini maana ya uwajibikaji ndio watakueleza Edo anafaa au hafai. Kumbuka aliwajibika mara moja WALA HAKUHITAJI BULLDOZER KAMA HAWA WA ESCROW

SASA HEBU HAO UNAODHANI WANAFAA WEKA KAZI ZAO HAPA walizofanya TUZIPIME
 
Kwa kipindi alichokuwa waziri hadi kuwa waziri mkuu alionyesha uwezo mkubwa sana kiuongozi . Kati ya mambo yanayomfanya Lowasa kuwa kiongozi wa kipekee ni jinsi anavyoweza kuthubutu kuchukua maamuzi magumu sana lakini yenye Tija kwa walio wengi. Mfano:-
1. Shule za kata zimesaidia wengi hasa maskini
2. Mradi wa maji kutoka lake Victoria kwenda shy na kahama.

Kiongozi huyu alithubutu kwenda kujenga hoja na misri ambao wana VETO juu ya matumizi ya maji ya ziwa Victoria na hatimae hoja yake ilieleweka na mradi ukafanyika. ingawa kuna waliomkatisha tamaa lakini Aliamua kuchukua maamuzi magumu.

Kasi ya Lowasa ilikuwa ni SUPERSONIC lakini ilikatika ghafla baada ya tuhuma ya RICHMUND ambayo ilisababisha ajiuzulu.

Kukubali kwake kuwajibika kunazidi kudhihirisha kuwa huyu ni kiongozi wa aina yake kwani kwa nafasi aliyokuwa nayo angeweza hata kung,'ang'ania kama hawa tunaowaona kipindi hiki cha Tegeta Escrow.

Ninachoamini ni kwamba huyu bwana angekuwa bado ni waziri mkuu basi kuna mengi yangekuwa yamefanyika yenye faida kwa nchi hii na wananchi.

Mbali na sifa hizo lakini pia lowasa ana tabia hizi:-
1. Hana blaablaa nyingi/ ni mtu wa vitendo zaidi
2. Haogopi kuchukua hatua
3. haogopi kufanya maamuzi magumu-hata kuamua kujiuzulu ilikuwa ni maamuzi magumu kwani haikutumika nguvu kubwa kumshinikiza. Hata mradi wa maji lake Victoria ilikuwa ni maamuzi magumu sana.
4. Ana huruma kwa watu hasa wanyonge
5. Sio mbaguzi.
6. Ni mcha mungu na ana hofu ya Mungu.

Nina imani hata Mungu anamuongoza na kumlinda kwasababu kila wanaojaribu kumchafua au kumfitini yeye ndio anazidi kuchanua sana ambapo wanaomchukia ndio wanafifia kama kiiza.

Tanzania inahitaji kiongozi wa Aina hii.

May God Bless and guide Him

Ni kweli,
Lowassa ni kiongozi wa kuigwa.
Ndiye Rais wetu miezi michache ijayo.
 
Mwenye Enzi Mungu ambariki Lowassa !
 
Back
Top Bottom