Chadema Live kutoka Kimara Bonyokwa

Mapambano Daima,CCM kwisha habari,huku Iringa Mchungaji Msigwa anapiga mkutano wa 5 bado mikutano 12 ili itimie 17 ambayo imepangwa ifanyike,huko Tanga nako makamanda kina Zitto wamepinga mikutano ya kufa mtu! Viva Chadema.

Morogoro wadau!mbona mnausahau huu mkoa?au mnataka magamba waendelee kushka atamu huku?wanahitaji darasa watu wa moro
 
magamba kwisnheiiiiiiiiiiiiiiiiiii.cdm hoyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.tunaombeni picha kwawalio eneo la tukio pls.
 
Malizeni mikutano yenu. Kura ni za ccm. Hakuna wa kuwapa nchi kijingakijinga.
Labda mzidi kuendelea na yale mawazo yenu ya mkutano wa kule arusha wa kuanzisha
jamhuri ya kilimanjaro,ambapo hata huyo zito na kabwe hawakuhusishwa.









safi sana makamanda..
Peoplesssssssss
powerrrrrrrrrrrrrr..........
 
Back
Top Bottom