CHADEMA Kwisha Habari yao Ruaha Iringa

CHADEMA Kwisha Habari yao Ruaha Iringa

OFISI YA CHADEMA KATA YA RUAHA IRINGA MJINI YACHUKULIWA NA CCM BAADA YA KUSHINWA KULIPA KODI

IMG_9926.JPG

Ofisi ya Chadema iliyochukuliwa na CCM hii hapa​
IMG_9940.JPG

IMG_9988.JPG

Makada na viongozi wa Chadema kata ya Ruaha wakitazama bango la safu ya uongozi wa Chadema

katibu wa CCM kata ya Ruaha Rashid Shungu ( wa pili kushoto ) na kada wa Chadema aliyehamia CCM Ibrahim Mmasi pamoja na wanachama wengine wa CCM wakiwa wameshika bendera ya CCM ambayo itapepea katika ofisi mpya ya kata ya Ruaha ,ofisi ambayo awali ilikuwa ikimilikiwa na Chadema kabla ya kufukuzwa kwa kushindwa kulipa deni la kodi kiasi cha Tsh 540,000 , kushoto fundi rangi akiendelea kupaka rangi ya CCM.(Martha Magessa)
IMG_9966.jpg
Hilo fundi ni taahira kama ma-ccm menyewe, yaani fundi hata halijui litumie rangi gani kufuta rangi zilizotangulia kupakwa?
 
Hilo fundi ni taahira kama ma-ccm menyewe, yaani fundi hata halijui litumie rangi gani kufuta rangi zilizotangulia kupakwa?
Wewe ndio umeishiwa kabisaaa. Yaani ni wa kuonea huruma tu.
 
A cha upotoshaji wewe! Hilo tukio limetokea tangu mwaka Jana. Tangia Dk Slaa ni K/Mkuu wa CHADEMA. Sijui hii cybercrime ni kwa ajili ya nini?!

Hhahahahahahahahahah

Huoni haya kutetea ujinga?
 
CHADEMA ni chama cha kilaghai kinachoendeshwa kwa misingi ya kilaghai na viongozi wake ni walaghai wanaowalghai wananchi kwa kwa maslahi ya kilaghai,ona sasa ulaghai wao mpaka wameshindwa kuwasaidia wanachama wao kulipia kashilingi laki 5??? aibu

na zile bilioni 10 za lowassa zitakuwa zimeishia kwa wapiga domo wa pale makao makuu na hawa waganga njaa waliopo hapa jf kujifanya kutokwa povu kwa kutetea ulaghai ambao dr slaa kaustukia...

ACT wazalendoooooooo - Taifa kwanza kesho na baadae
 
Kama hilo pagala ndo linapiga kura...baasi tukutane October
 
Hilo fundi ni taahira kama ma-ccm menyewe, yaani fundi hata halijui litumie rangi gani kufuta rangi zilizotangulia kupakwa?

hao ni mafundi njaa,halijui kama njano ni transparent,bora angetangulia kupaka hata rangi nyeupe ya maji kwanza ndio ifate hiyo njano.
 
...we kenge chadema ipo kwenye mioyo ya watu sio kwenye vibanda!
 
Wanaodhani na kufikiri kua CCM itakufa wanaongozwa na mihemko, CCM inazidi kukua uchaguzi mkuu tutashinda na baada ya uchaguzi kitazidi kukua na wapinzani watabaki kua wapinzani tuu.
#HapaKaziTu
#Magufuli.
 
The next President of the United Republic of Tanzania Dr Magufuli.
 
Back
Top Bottom