CHADEMA kwanini hamjifunzi kutoka CCM?

Kwanini usiseme wajifunze jinsi ya kufanya manunuzi kutoka kwa wenzao?
 
Maoni yako yapeleke kwenu kwanza kwa asieshauriwa.
 
Mmeshindwa kupitisha mapandikizi yenu. Ndo maana mwaweweseka. Wazo la kuimarisha upinzani litatoka kwa dictator uchwara? Angekuwa anaminya haki ya kikatiba ya kufanya siasa? Halafu mna ujasiri wa kumlaumu boxer aliefungwa mikono kuwa hatupi ngumi za usoni? Eti jifunzeni, wapi?
 
Rudia kusoma taratibu huu uzi na uutafakari kabla hujajibu utapata kitu, weka mahaba pembeni uruhusu ubongo kufanya kazi
Sihitaji kuu soma,matatizo yote tuliokuwa nayo leo ndani ya hii nchi imeletwa na CCM. Uwizi,wivu,uvivu,ufisadi elimu duni, ukizungumzia uongozi na kutafuta uongozi ni vitu tofauti,nyerere hakubadilisha uongozi akigombea uhuru pia,uongozi unabadilishwa ukiwa madarakani nitajie chama cha siasa cha upinzani ambacho hakijawahi kushika madaraka kiwa kinabadilisha uongozi,kenya,uganda,zimbabwe n.k.unaweza kubadilisha pale ambapo umefanikiwa malengo, kwa sababu akija mgeni anaanza upya hivyo kukitoa chama tawala kitakuwa vigumu haswa kwa watu kunuliwa,kiukweli mimi siyo ccm wala chadema wala cuf (soma comment zangu za nyuma)vyama vyote vina mapungufu,lakini kama kuna mama wa mapungufu ni CCM,hii akili ya JPM na LUKUVI ya kudanganya watu tunataka wawekezaji huku wana taifisha mali ya watu hutaona raia wa nje anawekeza Tena,wana mawazo ya ccm ya nyerere na roho mbaya na kimaskini, hata na nchi jirani zao,inawezekanaje una jirani yako ana njaa anahitaji chakula na wewe unacho cha ziada na unazuia asinunue,watanzania hiyo roho imejengwa na ccm,kabla hujafikiria wapinzani wajifundishe kwa ccm inatakiwa wananchi wajifunze ya historia ccm na umaskini na wajue watakuwa maskini milele.
 
Lkn tofauti Mungu mtu wa CCM ana ukomo, lkn chadema hakuna na wala hakuna anayejua lini Mbowe utawala wake utafikia ukomo, sasa hilo siyo jambo jema kwa ustawi wa Chama!
CCM ina weza kufanya hayo kwa mamlaka ya dola. Ni katiba ya nchi inayo leta mabadiliko hayo.
 
sawa nasikia in
marufuku mwana ccm kuchukua fomu kugombea uraisi 2020
 
Najiulizaga Sanaa maswal kwanin ccm mnamuogapa Sana Mbowe.... Baba mbowe shikilia hapohapo siku ukitoka mkalishe Mr lisu waisome namb vzur.
Ina maana mkikshika nchi nyie hamtataka kutoka mtang'ang'ania kama ambavyo mwenyekiti wenu anavyong'ang'ania chama kuwa mwenyekiti. Basi mnatisha zaidi ya ukoma .
 
sawa nasikia in
marufuku mwana ccm kuchukua fomu kugombea uraisi 2020


Inawezekana kama wao kama Chama wamekubaliana hivyo lkn 2025 ni mwisho wa Magufuli na timu yake, sasa lini mwisho wa Mbowe na watu wake chadema? Kwa nini hawatoi nafasi kwa wengine pia kuonyesha wanachoweza?
 


Lkn hiyo mifano ya nchi ulizotoa hakuna demokrasia ya ukweli bali ni ukabila na udikteta, kwa mfano Kenya Raila Odinga ni zaidi ya Kiongozi wa Chama chake, yeye ni Mfalme wa Wajaluo na Chama chake 100% ni Wajaluo sasa nina uhakika chadema haiko hivyo!

Lkn kwenye nchi za demokrasia zote Kiongozi wa Upinzani akikiongoza Chama chake kwenye Uchaguzi na kushindwa basi hutoa fursa kwa wengine mfano mzuri ni nchini AK, Chama cha DP ni hivyo!

Hata chadema yenyewe kwani yeye Mbowe aliwezaje kuwa Mwenyekiti wa chadema kama wengine hawakumwamini na kuamua kumpa nafasi?

Kwa nini Mzee Mtei, Bomani hawakusema ulivyosema wewe kwamba ni lzm kwanza washike Dola ndiyo wawakabidhi watu wengine kuongoza Chama? Kwa nini Mzee Mtei alikabidhi kama hoja yako ina maana yoyote ile?
 
Akili za chawema anazijua wema sepetu baada ya kuarubuni.
 
Lkn tofauti Mungu mtu wa CCM ana ukomo, lkn chadema hakuna na wala hakuna anayejua lini Mbowe utawala wake utafikia ukomo, sasa hilo siyo jambo jema kwa ustawi wa Chama!
...Sema tuu ukweli kwamba wajifunze kununua madiwani na wabunge, kuiba kura hata ikibidi kwa kumtoa mtu roho etc
 
Rafiki yangu ucfananishe chadema au vyama vya upinzani na ccm, wao ccm ni chama dola ni lazima kubadilisha mwenyekiti kila baada ya miaka10.kwa sababu uwenyekiti unaendana na urais .Mwalimu nyerere alijaribu kubakia kuwa mwenyekiti baada ya kustaafu urais na cc tuliokuwepo wakati huo tuliona jinsi mivutano ilivyokuwa sema tu mwinyi alikuwa mstaarabu na alivumilia sana Nyerere hata ilifika wakati mzee mwinyi akajifananisha na kichunguu cha mchwa na nyerere ni mlima kilimanjaro, kwa hivyo nyerere kwa hekima zake akaona ili kuondosha fitna akaona Bora raisi pia awemwenyekiti wa chama kwa hivyo hata hivyo vyama vyengine kama vitakamata dola kwakatiba hii tuliyonayo inayoonesha chama kushika hatamu itawabidi wafuate mfumo huo huo labda tuje na katiba mpya ambayo vyama vitanyang'anywa mamlaka hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…