Chadema kwa sasa kimekuwa kiwanda cha kuzalisha viongozi katika nchi yetu kwa sasa

lendila

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
5,806
4,370
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa sana kimekuwa ni kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha viongozi katika taifa letu

Chadema kimekuwa chama kinachokuza vipaji vyingi katika uongozi wa taifa letu kwa sasa hivi

Imefikia hatua viongozi wa serekali wa awamu hii ya 5 karibu wote wameanza kutoka katika chama cha demokrasia na maendeleo chadema

Chadema kimekuwa kikikuza vipaji vya vijana wengi sana katika nchi hii

Vijana wanaokuzwa na umoja wa vijana ccm kwa sasa hivi wamebaki na kazi za kusifu na kuabudu tu bila kuteuliwa katika nafasi zozote zile

Kama mambo yataendelea yalivyo baada ya miaka 5 mbele tutajikuta viongozi karibia wote wa kisiasa na kiserekali karibia 80% watatokana na chama Cha chadema

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Lazima tukubali kuwa mh,mbowe ameweza kuwalea vijana wengi katika nchi hii wanaopewa nafasi mbalimbali katika vyama mbalimbali kuliko wanavyokuzwa na vyama vyao wenyewe

Huu ni ukweli mtu mputu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
 
Chama cha demkrasia na maendeleo chadema kwa sana kimekuwa ni kiwanda kikumbwa sana cha kuzalisha viongozi katika taifa letu

Sent using Jamii Forums mobile app
BIG BIG FACT

AMEEN
 
Masikini chadema. Ndio mmefii hp sasa.
 
Kama namwona Bia yetu alivyokurupuka huko mbio kuja kupinga.😃😃
 
Fanyeni tu utani kama baada ya miaka 10 mbele vijana wa mbowe hawataongoze serekali bila nyie ccm kujua kuwa mbowe ndio anaongoza nchi endeleni na zowezi la usajili towa cheo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata huyu Mdude wanayemtesa, siku akiunga mkono juhudi za mtukufu atapewa U DC! Viongozi wao wanajua wana watu wa aina gani! Eti yule chapombe wa Ukonga kapewa wizara.............

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi ningekuwa Mdude naunga Juhudi napewa udc bila nguvu , sahivi naona sehemu yakuweza kupata nafasi nichadema then unaunga juhudi unakula shavu kama chapombe katumbi sahivi kawa DC basi Mjue siasa Hiko na Faida kulko hasara.
 
Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA kwa sana kimekuwa ni kiwanda kikubwa sana cha kuzalisha viongozi katika taifa letu

Chadema kimekuwa chama kinachokuza vipaji vyingi katika uongozi wa taifa letu kwa sasa hivi

Imefikia hatua viongozi wa serekali wa awamu hii ya 5 karibu wote wameanza kutoka katika chama cha demokrasia na maendeleo chadema

Chadema kimekuwa kikikuza vipaji vya vijana wengi sana katika nchi hii

Vijana wanaokuzwa na umoja wa vijana ccm kwa sasa hivi wamebaki na kazi za kusifu na kuabudu tu bila kuteuliwa katika nafasi zozote zile

Kama mambo yataendelea yalivyo baada ya miaka 5 mbele tutajikuta viongozi karibia wote wa kisiasa na kiserekali karibia 80% watatokana na chama Cha chadema

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

Lazima tukubali kuwa mh,mbowe ameweza kuwalea vijana wengi katika nchi hii wanaopewa nafasi mbalimbali katika vyama mbalimbali kuliko wanavyokuzwa na vyama vyao wenyewe

Huu ni ukweli mtu mputu na msema kweli ni mpenzi wa Mungu
Hebu tutajie vijana 5 tu unaowaona wana vipaji waliohamia CCM toka CHADEMA.
 
1. Mwita
2. Juliana Shonza
3. Katambi
4. Cecil
5. Waziri mtarahiwa mbunge wa Mbozi
6. Waziri mtarajiwa mkongwe mbunge wa Bukoba Mjini
7.Mustahiki Meya wa Jiji la Dar - Waziri mtarajiwa
8....

Wafia chama wataniua wacha niishie hapo kwa leo
 
CCM wanaigopa CDM japo wamechukua wanachama na wabunge wao wengi ni kwakuwa ukipima siasa na upenzi wa chama CDM bado inapendwa...japo watu wanaogopa kuonesha mapenzi Yao Wazi wazi kutokana na vitisho vya Serikali..

Ila deep inside CDM ni tishio kwa CCM....
 
Back
Top Bottom