Live kutoka Arusha uzinduzi wa kampeni Sombetini

Live kutoka Arusha uzinduzi wa kampeni Sombetini

Nanyaro Ephata

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2011
Posts
1,237
Reaction score
1,828
Heshima kwenu wakuu
Leo Jumapili CHADEMA tunazindua kampeni kata ya Sombetini,katika uchaguzi ambao tutashinda kwa 95%,uzinduzi wa leo utajumuisha magari,pikipiki,baiskeli,bajaji,na waenda kwa miguu,tutapita mitaa yote ya kata ya Sombetini,na baadae mkutano mkubwa wa hadhara viwanja vya Mbauda
Tutaendelea kuwajuza yatakayojiri
 
Huko mimi siji hata iweje.Kisiasa kila chama kina ngome yake.Ni jambo la kujua na kukubali tu. Mwaka 2010 hapo alishinda Mawazo.Haikushinda CCM. Mwaka huu,CCM haina nafasi hapo. Hata kama kuhamishwa Idara kama Komredi Tambwe,niko tayari.Arusha nitakuja kwenye Mkutano wetu wa Mawakili tu.Basi.Kila la kheri wagombea wote!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
 
Haya. Asante kwa taarifa Kamanda. Kila la kheri. Peoplezzzz!!!!
 
Heshima kwenu wakuu
Leo Jumapili CHADEMA tunazindua kampeni kata ya Sombetini,katika uchaguzi ambao tutashinda kwa 95%,uzinduzi wa leo utajumuisha magari,pikipiki,baiskeli,bajaji,na waenda kwa miguu,tutapita mitaa yote ya kata ya Sombetini,na baadae mkutano mkubwa wa hadhara viwanja vya Mbauda
Tutaendelea kuwajuza yatakayojiri

Uzinduzi unaanza saa ngapi?
 
Chadema Sombetini zombeni kura zote mumwachie Nchemba kura mbili tu; moja yake ni ingine ya yule mdoli anayemtembeza kama picha inavyoonesha hapo chini.

View attachment 133139
 
Maandamano makubwa ndio yanaanzia ofisi za chama Ngarenaro
 
CCM wako wapi huku?aluta continua chadema.Hakikisheni hata huyo mkurugenzi mpya aliehamishiwa arusha anafuata sheria na kanuni za chadema kama chama tawala katika jiji la arusha.
 
...

....jomba nipo hapa "Ngome" ...ngarenaro

CHADEMA MOTO WA KUOTEA MBALI

..Mkurugenzi Mama Diana tunakamilisha tu taratibu la sivyo Bananga leo hii angekuwa hapo Municipal......
 
Tunashukuru sana lakini picha ni muhimu sana.Mgombea wa CCM tayari ameshazindua kampeni zake?Nadhani huko Nape haji tena kufungua mkutano wa kampeni.
 
Huko mimi siji hata iweje.Kisiasa kila chama kina ngome yake.Ni jambo la kujua na kukubali tu. Mwaka 2010 hapo alishinda Mawazo.Haikushinda CCM. Mwaka huu,CCM haina nafasi hapo. Hata kama kuhamishwa Idara kama Komredi Tambwe,niko tayari.Arusha nitakuja kwenye Mkutano wetu wa Mawakili tu.Basi.Kila la kheri wagombea wote!

Mzee Tupatupa wa Lumumba,Dar es Salaam
wewe ni mchumia tumbo, mbwa mwitu unayejifanya kondoo. huna hoja wala sera yoyote. ni sawa tu mfu
 
Back
Top Bottom