Chadema kuwaunganisha WaTanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuwaunganisha WaTanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Feb 7, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Nina furaha kubwa kuona kuwa Chadema inajipanga kuwaunganisha WaTanzania wote bila ya kujali itikadi za kidini.
  Umoja huo ambao ndio muhimu katika kuiondoa CCM iliyodumu madarakani kwa nusu karne sasa,tumeona Tunis,Misri na kwengineko ,umoja wa wanancho umeweza kufanikisha wakoloni wazalendo kuondolewa madarakani baada ya kuishi ndani ya madaraka na kutotaka kuondoka.
  Chadema katika mbiu hii ya kuwaunganisha wananchi wa Taifa hili la Tanzania sio itaweza kumuondoa kiongozi bali itaweza kukiondoa Chama kilichoimeza Tanzania tokea ipate uhuru.
   
 2. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #2
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  itakuwa vizuri kama itaweza hilo la kuwaunganisha watu wa dini zote,lakini bado nina wasiwasi na baadhi ya members wa jf ambao pia ni wanachama wa CDM kwani wengi wao wameweka udini mbele kwa mfano angalia uteuzi wa mkurugenzi wa utalii bwana Ibrahim mussa watu wanahoji dini yake wana diliki kuhoji kwanini kapewa nafasi hiyo lakini wameshindwa kuhoji kwanini mwanzo alikuwa maria mmari
  sasa je chadema inachujio la kuweza kuwaondowa watu wenye fikra mgando tena mgando hasi kama hawaaaa?
  kwa upande wangu nasubiri kwa hamu hilo ni jema kwetu

  msema ukweliii hapendwiiiii daimaaaaaa:clap2:
   
 3. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ngozi yako nina wasiwasi nayo:msela::msela:
   
 4. l

  lwangwa Member

  #4
  Feb 7, 2011
  Joined: Sep 8, 2010
  Messages: 92
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Lete hoja za msingi acha kuvuruga akili zetu
   
 5. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  wasiokujua tu ndo watachangia hizi pumba.
   
 6. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #6
  Feb 7, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Hoja za msingi ni kukubali kuwa Chadema hivi sasa ina mtandao ambao unajulikana kila sehemu ,kilichobaki ni uwezo wa Chadema kujieleza mbele ya wananchi na kuwashawishi kuwa lengo ni kuiondoa CCM kwenye utawala ,si kumuondoa Kikwete au Makamba ,kuwaunganisha wananchi kwa lengo moja tu la kuiondoa CCM.
   
Loading...