Zak Malang
JF-Expert Member
- Dec 30, 2008
- 5,404
- 242
saigoni wewe ni kibokoTaarifa ulete wewe, halafu kukujuza tukujuze sisi! am missing something on ur point. hawa ndio waandishi wetu wa miswada.
ccm anakujibu hapa chiniHzo taarifa umepata wap?
una swali lingine? this is JFTatizo humu ndani kuna watu ambao wapo kwa ajiri ya kubisha bisha tu, Anachoongea mtoa mada ni kweli na mimi leo nimeingia Tabora na magari ya matangazo yanatangaza hivyo mitaani, nipo kwa ajiri ya kuangalia hali ya chama changu CCM na kuangalia nini kifanyike ili tuzidi kujiimarisha....ni safari binasfi si official msije mkani-miss understand.
Kwa hiyo kuhusu mkutano ni ukweli utakuwepo
naona umeliona hili tatizo muhimu kwa sasaTaarifa ulete wewe, halafu kukujuza tukujuze sisi! am missing something on ur point. hawa ndio waandishi wetu wa miswada.
Yeah, hii LITAKUWA jambo zuri sana kwa Chadema kufika Tabora.
Ingelikuwa vema wakatumia fursa hii kutembelea wilaya zote za Tabora na zaidi ni SIKONGE.
Karibuni sana SIKONGE viongozi wa Chadema maana hata kwenye uchaguzi wa Rais/Bunge hamkufika Tabora.
Ni wilaya inayohitaji sana SERIKALI ikemewe na Chadema na labda ndiyo wataamka kutoka usingizini.

Wewe ndio mtu pekee niliekuwa nakutarajia ukiingia hapa utatupa na ukweli, otherwise ondoa hiyo signature yako weka signature nyingine, unajuwa nyinyi ndio mnategemewa kuiokowa Tabora iachwe kuongozwa na wasomali na wairani, wenzenu Morogoro walikuwa ni mateka wa wahindi lakini wamejitahidi kuwaondoa, na mpaka kufikia uchaguzi mkuu hujao Morogoro hapawezi kuwa na mbunge muhindi.

Bwana Sikonge, waambie hao CHADEMA wasisahau Nzega, mimi nipo nje ya nchi kwa sasa lakini nilipokuwa nzega Mwezi January watu wengi sana vijijini walitaka kufunguliwe matawi ya Chadema na wapelekewe kadi, wamechoka na CCM ya mafisadi.Yeah, hii LITAKUWA jambo zuri sana kwa Chadema kufika Tabora.
Ingelikuwa vema wakatumia fursa hii kutembelea wilaya zote za Tabora na zaidi ni SIKONGE.
Karibuni sana SIKONGE viongozi wa Chadema maana hata kwenye uchaguzi wa Rais/Bunge hamkufika Tabora.
Ni wilaya inayohitaji sana SERIKALI ikemewe na Chadema na labda ndiyo wataamka kutoka usingizini.
Mkuu Saigon Wairani tena ndani ya TBR?