CHADEMA kuwasha moto Songea Mjini

CHADEMA kuwasha moto Songea Mjini

Baada ya Ziara ya Makamu wa Rais wa Marekani kumalizika nchini Tanzania , Kazi ya kusambaza moto wa Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi inaendelea .

Safari hii ni zamu ya Songea Mjini , ambako inatarajiwa lundo la Makamanda watafundisha Jukwaani Somo la Umuhimu wa Katiba mpya na Tume Huru ya Uchaguzi .

Taarifa kamili hii hapa .

View attachment 2572973
Hakuna kitu hapo.Ni expended force.
 
Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza

USSR
Mashoga wanasajiriwa na serikali ya ccm, ccm kumejaa mashoga na wasagaji ...wapuuzi wakubwa nyie
 
Si useme tu CCM-B kuuwasha moto Songea, maana wanaenda kumsifia mama yao kama maagizo ya ulambaji asali yanavyotaka
 
Chama chakavu chama kilamba asali chama kutetea mashoga nani anataka kukisikiliza

USSR

IMG_5098.jpg

ad48681c-8509-4b8c-8bac-42ca9439ae48.jpg

CHADEMA inatetea ushoga,waache mara moja [emoji2211][emoji2211]
 
Back
Top Bottom