MAMA POROJO
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 4,974
- 785
mh! kwan ruzuku ya chama kazi yake ni nini?
CHADEMA kama Freemasons
Maskini watanzania bado wanyonge bado wanakamuliwa hadi senti ya mwisho.
CHADEMA tupunguze mbinu ya kuwakamua wananchi.
tukumbuke kauli mbiu yetu ya 'WAMEPIGIKA'
wewe hujalazimishwa kuchanga kama wewe huusiki na nguvu ya umma kaa kimya wenzio tunasubiri account na namba za m pesa na tigo pesa tutupie.kaa kimya kabisa hii ngoma si ya ma.gamba ni nguvu ya umma so shut up pusi.CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
kwani kwenye chama chako hiyo ruzuku inafanya kazi gani ?au na wewe ni chama cha wanunua ubwabwa na wasomba watu kwenye malori kiasi kwamba hujui nini kazi ya ruzuku ya chama
Crashwise alituwekea hapa jukwaani kuwa CCM ilitumia mil 100 kwenye uchaguzi wa kwanza au huju mahesabu kiasi kwamba huwezi kuona tofauti ya mil 100 na mil 19....Nguvu gani tena ya Umma juzi tu TUNTEMEKE katufahamisha kabla ya kampeni kuanza wametumia Milioni 19 kutoka kwenye ruzuku, leo tena mnataka kuwachangisha wananchi.
Vipi wamekulazimisha au unajishitukia....CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
Mchango wa hiyari kwa wenye mapenzi mema. Wewe unayeishi kwa kutegemea, kofia, kanga na pilau kalagabaho!!CHADEMA acheni kutunyang'anya hata kidogo tulichonacho. Kila siku mnatunisha mishipa majukwaani kuwa maisha magumu alafu mnakuja arumeru kutuchangisha fedha za Kampeni jamani. Ruzuku mnayopewa mnatumia kufanya nini kama kila siku mnachangisha fedha za kampeni tangia uchaguzi mkuu ? au zile milioni kumi na mbili za kila mwezi za mheshimwa Katibu mkuu ndo hizo?
Hivi chadema na CCM nani anekukamua hata kama unaakili ya kukuwezesha chamba utajua ni CCM ndiyo inayo kamua wananchi hata wakazi wa Arumeru wana litambua hilo....Maskini watanzania bado wanyonge bado wanakamuliwa hadi senti ya mwisho.
CHADEMA tupunguze mbinu ya kuwakamua wananchi.
tukumbuke kauli mbiu yetu ya 'WAMEPIGIKA'
unamuaona Ndanda Kosovo hapo?
ameweka mkwe wake awe mbunge Arumeru mashariki!!