Chadema kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi. Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa. Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe. Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako. View attachment 2983183
Konyagi zitakuwepo
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Adalahmaani Kindovu kitembo tutamtadai tembo wetu! Na yule supika atatapika hongo ya DP world aliyopokelea kule Morroco
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Ufipa sanaa group!
 
Hawa ccm bila kupelekewa moto hawawezi elewa kitu, nahuko mbele watazuia maandamano na mikutano ya hadhara kwani niwazi hawawezo siasa za ushindani na hoja. Yote kwa yote nikuwapelekea moto tu nakuendelea kuelimisha umma juu ya madhila ya ccm na namna wanavyonufaika na ujinga wetu.
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
SAWA MSEMAJI WA CHADEMA JF NADHANI YATAKUWA NA MOSHI PIA SAFARI HII
 
Kwa maoni yangu CHADEMA waachane na maandano kwanza kama miezi 6 wapige press conference za maana nyoka wote watoke shimoni then maandamano baadae
 
Kinana atajibiwa hadharani, Kumbuka vyombo vya habari vyote vishakuwa upande wa ccm kutokana na Njaa

Dawa ni Kupiga Spana mbele ya Umma
 
SAWA MSEMAJI WA CHADEMA JF NADHANI YATAKUWA NA MOSHI PIA SAFARI HII
Kawaambie walikuprogram waifute hiyo code maana huko Moshi yameshafanyika. Hapa unaonekana ni juha tu usiyejua lolote zaidi ya kupewa maagizo na kufanya siasa mfu hapa jukwaani.
 
Back
Top Bottom