wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu lisu.itisha hata maandamano sisi vyuo vikuu ametutia kinyaa huyo zito.pia amehujumu chama kigoma.hajawahi kubatilisha kauli yake kumsaidia kafulila.pia ni yeye alikuwa nyuma ya mafanikio ya nccr.huyu ni kansa tukimlea tutakuja kukata mguu mzima
According to TBC 1 tundu lisu amesema watawaandikia barua wabunge wote ambao hawakuingia bungeni siku ambayo wabunge wa Tanzania walipotoka ndani ya bunge baada ya RAHISI WA WADANGANYIKA alipotaka kuanza kudanganya, kila mmja ajieleze alikuwa wapi wakati wenzao wanatoka bungeni?
Umefika wakati wa Zitto Kabwe kuondoka CHADEMA, hana maana yoyote! Tangu aingizwe kwenye Tume ya Kuchunguza Mikataba ya Madini Zitto amekuwa haeleweki kwa kauli zake. Hivi karibuni ameonyesha udhaifu mkubwa kwa kudai eti kwamba haku-support kutoka nje ya ukumbi wa bunge! Sasa yeye ni msemaji wa Chama mpaka aanze kuita waandishi wa habari? Kama anataka kuhamia CCM kwani kuna mtu amemkataza? Kuwasaliti watu wenye nia njema ni jambo la hatari sana, hata mambo aliyoyapigania kuhusu Buzwagi hayana maana tena, afadhali angekaa kimya tu!
Mbona kaborou aliondoka? Na bado kipo! Kwanza umaarufu wake ni wa jina tu lilivyokaa linamletea umaarufu kama Mwaikimba..hana chochote!kosa la mwaka, chadema kumuondoa naibu kambi ya upinzani ZItto. sisi watz tutahoji kulikoni?tutapapasa kunanini. na mwishowe tutao kauli sio bure, na mwishowe ni pigo kwa Chadema
Mbona kaborou aliondoka? Na bado kipo! Kwanza umaarufu wake ni wa jina tu lilivyokaa linamletea umaarufu kama Mwaikimba..hana chochote!