Re: Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout' | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Re: Chadema kutaka maelezo toka wabunge 10 ambao hawakuja Bungeni wakati wa "walkout'

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by tume huru, Feb 13, 2012.

 1. t

  tume huru Member

  #1
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Naomba msaada wandugu. Natafuta shule NZURI ya private yenye masomo ya science (PCB &CBG) kwa A'level katika mikoa ya Arusha, Kilimanjaro, na Tanga.
   
 2. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #2
  Feb 13, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Umeona utumie neno Chadema ndio post yako itauza au sio
   
 3. KakaJambazi

  KakaJambazi JF-Expert Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 15,017
  Likes Received: 3,201
  Trophy Points: 280
  CDM ni kila kitu kwa sasa.
   
 4. t

  tume huru Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hapana mkuu, mimi mwenyewe nimeshangaa headi imebadilika na nimeshindwa kuibadilisha. Labda mods wanisaidie au wewe unielekeze nibadili heading iwe kama nilivyoiweka mwanzo.
   
 5. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #5
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,556
  Likes Received: 18,266
  Trophy Points: 280
  Mkuu Tume Huru, jee hiyo topic ya Chadema pia uliianzishaga wewe?.
   
 6. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #6
  Feb 13, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh! Heading na content ni tofauti kabisa
   
 7. t

  tume huru Member

  #7
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapana Pasco, sikuianzisha mimi, nimestaajabu kuiona ina appear kwenye thread yangu, na kila nikiedit inarudi hivyo hivyo.
   
 8. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #8
  Feb 13, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 24,556
  Likes Received: 18,266
  Trophy Points: 280
  Then its strange, then fungua edit, nenda advance, then edit headiline na kumwambia mode aibadilishe headline.

  Kama huoni option ya advanced edditing then fungua jf mobile version unaweza kuedit headline ukibonyeza edditing.

  Kwa kawaida ukianzisha new topic , siku ukianzisha nyingine, zinakuja zile new top za kwako.
   
 9. t

  tume huru Member

  #9
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 11, 2012
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Asante Pasco.
   
Loading...