Plato
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 420
- 94
wanajamvi,nimefurahishwa mno na tamko la tundu lisu hasa kuhusu msisitizo juu ya zitto kabwe.ni wakati muafaka wa kumtimua huyu kibaraka.aondoke mapema ili akamshukuru vizuri jk.viva tundu lisu.itisha hata maandamano sisi vyuo vikuu ametutia kinyaa huyo zito.pia amehujumu chama kigoma.hajawahi kubatilisha kauli yake kumsaidia kafulila.pia ni yeye alikuwa nyuma ya mafanikio ya nccr.huyu ni kansa tukimlea tutakuja kukata mguu mzima