Hueleweki msukule wa ufipa, come up plzChadema wanaendelea na shughuli za chama tanzania nzima kama ni book 7kachukueni ccm wanashinda kwa kuuwa watu
Wakati katibu mkuu wa chama cha mafisadi (ccm) akifanya ziara na kuleta uhai wa chama ili kishiriki katika chaguzi za serikali za mitaa hapo mwishoni mwa mwaka CDM chenyewe kimesinzia kama si kulala usingizi wa pono haiwezekani chama kinafanya mikutano yao Dar es salaam na Arusha ambako kimsingi watu wameshazinduka, ni kwanini juhudi hizo zisielekezwe vijijini ambako ndo kuna wapiga kura wengi, sasa hivi chama kimekalia serikali tatu ambazo kimsingi haziwezi kusaidia kubadilisha matokeo serikali za mitaa, Madhara ya Kinana mtayaona hapo october kwenye uchaguzi serikali za mitaa endeleeni kulala.
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Chadema wanaendelea na shughuli za chama tanzania nzima kama ni book 7kachukueni ccm wanashinda kwa kuuwa watu
hiyo mikutano na chaguzi ni ya ndani au hadhara? mbona kwenye media hatusikii na kuona kama cdm wanafanya hayo yote, au ndo wamebadili strategy?
SP
Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Huu ubishi wako wa kibavicha siku moja lazima utaujutia twende pamoja mda bado upo japo ni mfupi sana ila utajuta kuzaliwa.Chama kina mfumo wa kanda ..kazi inaendelea.Usiwe nyuma ya wakati kiasi hiki.Leo Temeke kulikua na mkutano,Geita kulikua na Mkutano,Nyololo pia mikutano na huko Tanga kulikua na uchaguzi Leo.
Ngoja wapotezane halafu mwisho wa siku tuone nani wa kumfunga paka kengele.Tatizo mnapenda sana kujifariji nyie chagadema kwa mambo ya kijinga sasa mikutano mitatu inafaida gani kwa taifa hili kubwa? Nyie endeleeni na UKAWA hadi 2015 mtakuja kupata kipigo cha paka mwizi hamtakuja kuamini!
Na muendelee kulogwa hivi hivi musizinduke hadi October ndio mutapata fundisho lililo la wazi kabisa halafu mtajua kitakachowakuta 2015.
Tunawatakieni usingizi mzito wenye ndoto lukuki muje muamke Mwezi December!