mandago shululu
Senior Member
- Mar 24, 2013
- 125
- 37
Kipindi wana wa Israeli walipoenda Misri zaidi ya 70 waliteswa sana na watu wa misri ili waweze kupungua.Wanyampala wa misiri waliamlishwa wawatese sana kwa kufanyishwa kazi zote ngumu zikiwemo na za mashamba. Baada ya hapo Mfalume akawaamuru wakunga wa Misiri Shifra na Pua kwamba wanawake wote wajawazito kutoka misriwakija hospitali kujifungua kwamba,endapo mwanamke atajifungua mtoto wa kiume yule mtoto wamuue lakini kama ni wa kike wamuache aishi.
Wakunga hao hawakuweza kutekeleza agizo kutoka kwa mfalme wao.Kwa kitendo hiki wana wa israeli walizidi kuongezeka na kupendwa zaidi na wana wa misiri. Mfalume akaja kuwauliza hao wakunga mbona hamtekekelezi agizo langu? ,Wakunga wakamjibu kwamba Farao kwamba Wanawake waebrania si sawa na wa misiri wao ni hodari kabla mkunga hajafika wameshajifungua.Basi mwenyezi mungu akawajalia mema wakunga hao.
Pia kipindi shetani anamuua Yesu msalabani alifikiri kuwa ni kweli ameshamuua,lakini kila alipokuwa akienda alikutana na nguvu za Mungu,kumbe mungu bado yupo
Nijaribu kutoa tafakuri ndogo tu juu ya neno hili la leo kwa kuhusisha Siasa zetu za Tanzania.
Serikali ya chama cha mapinduzi inavyozidi kukataza haki za vyama vya upinzani kufanya mikutano mbalimbali nchini isifikiri kwamba inavikomoa hivi vyama bali vinazidi kuungwa mkono na watanzania wapenda maendeleo.
Askali wanaolazimishwa kupiga risasi za moto na kuwaua raia wasio na haki nawafananisha na wakunga wawili wa misiri yaani Shifra na Pua,ipo siku wataacha kutekeleza yale yanayoamuliwa na viongozi wa ccm.
Huu ni mtazamo wangu. wewe unasemaje?
Mandago 2015 kwimba-0765183733