Chadema kushinda kalenga

Chadema kushinda kalenga

Ukwel mtupu

Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
40
Reaction score
8
Wakuu kuna uwezekano mkubwa wa chadema kushinda katika jimbo la kalenga kutokana na ccm kumchagua mtoto wa marehemu dr mgimwa kuwa mrithi wa baba yake jambo lililopelekea ccm kuonekana kama chama cha familia. Mfano mzuri ni arumeru mashariki ambako mh nassari alichukua ushindi mapema kutokana na ccm kumchagua sioi sumari kumrithi baba yake hali iliyopelekea wapiga kura kukasirika na hivyo kuichagua chadema
 
Mkuu Arumeru ni tofauti na iringa, arumeru wana uelewa mpana kuhusu mambo ya kisiasa, kalenga ni sehemu ya pembezoni, ndo maana ccm wamerudia yale ya Arumeru, ushindani utakuwepo lakini ccm uwezekano wa kushinda kalenga ni mkubwa kuliko cdm!
 
Siku zote huwa tunashinda sema ccm wanatumia ubabe wa kiserikali kkukandamiza vyama vya upinzani, mfao mzuri ni uchaguzi wa madiwani wote tumeshudia jinsi walivyotumia vyombo vya dola,tume,rushwa n.k. Swala nikuendeleza mapambano tu cdm wameshaiweka ccm njia panda.
 
Mkuu Arumeru ni tofauti na iringa, arumeru wana uelewa mpana kuhusu mambo ya kisiasa, kalenga ni sehemu ya pembezoni, ndo maana ccm wamerudia yale ya Arumeru, ushindani utakuwepo lakini ccm uwezekano wa kushinda kalenga ni mkubwa kuliko cdm!

Duuh kazi ipo mkuu!!!
 
Kalenga...duh pombe msinywe ,ugimbi mnywesage
 
Naamini chadema watashinda kama walivyoshinda Arumeru au Igunga.Kushinda watashinda ila wanaweza kutangazwa au laa!
 
Kwa sera ya gesi kwamba kila mtz anaweza lipwa m3 kwa mwezi kwa miaka mia na 20 iwapo wataingia madarakani itakuwa kichocheo kikubwa kwa ushindi wao wtz wanataka maneno ya matumaini sio mipango na mikakati ya miaka 50 ya hao jamaa.
 
Mi sijaellewa hiii system CCM walokuja nayo ya son like father

Ina maanisha ccm imekua kiti cha ufalme akifa baba mtoto anarithi au ndo furSa, kuna haja yyya kuwaanda watoto wetu waje wame wabunge inaonekana ni ajira maridhawa !

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom