CHADEMA kurindima mkoani Tabora kesho maeneo ya stendi ya zamani

CHADEMA kurindima mkoani Tabora kesho maeneo ya stendi ya zamani

Rage mpirani mweupe, siasa unafosi kwa bastola...!Wanatabora ni nani aliyewaloga?badilikeni!!!
 
Wakati mwingine wa kuwapotezea muda watu wa tabora msiendeeee
 
kila la heri, mwageni sera kama kawaida. Kama simba walimtoa madarakani na ubabe wake, ni zamu ya wananchi kutomrudisha bungeni. Wana tabora jitokezeni kwa wingi.
 
Wananchi wa Tabora hawatakuwa tayari kuwasikiliza viongozi wa CHADEMA ambao hawajui umuhimu wa Nyuki.

Ulichaguliwa lini kuwa msemaji wa wananchi wa Tabora? Au umenyevukwa tu masaburini unataka mkuno
 
Back
Top Bottom