CHADEMA kuongoza Halmashauri mpya ya UVINZA


Itakuwa ni vizuri sana kama CCM wataungana na NCCR maana wataendelea kufanya yale yale yaliyotufikisha hapa. Hata hivyo Chadema tusiwategemee sana hawa wapinzani mamluki kama kina Mbatia, Mrema na Lipumba tuhakikishe tunapigania maslahi ya watanzania siku si nyingi watanzania wataelewa nani anafanya nini.
 

kwa hiyo hivi sasa mpango uliopo ni kuisaliti CCM??? tumia kichwa kufikiri. hiyo halmashauri lazima iongozwe na CCM
 
Chadema ni chama maslahi, inakuwaje muungane na nccr wakati kila siku mnahubiri majukaani kuwa nccr ni ccm c, wajinga ndio waliwao
 
NCCR wakikubali tu, kuungana na ccm ndio itakuwa mwisho wao katika mkoa wa Kigoma
 
Nacho kijua kuhusu nccr mageuzi mbatia ni kipepelushi cha sisiemu ataungana nao
 
Kama nccr na ccm wakifanya hivyo nd'o itakuwa vizuri zaidi kwa chadema.
 
Mbati Mbunge wa Rais......., Ndoa na CDM hauiwezekani, watafunga ndoa CCM na NCCR. Mrema kapewa cheo mahari....TLP wataungana na CCM Arusha....habari ndio hiyooooo
 

Kama Mwenyekiti wa NCCMR akiamua kuungana na CCM kwa faida yake mwenyewe, ajue uchaguzi ujao hizo kata watazisoma kwenye ubao wa matokeo tu (nikimaanisha hazitarudi tena NCCMR)
 
sioni sababu ya kuilazimisha NCCR uvinza kuungana na chadema ili chadema iongoze Halmashauri kwani hakuna mahali popote kulipokuwa na makubaliano ya kuunganika kati ya chadema na nccr. hapa ni utashi na faida za kisiasa ndiyo itakayoisukuma nccr uvinza kuchagua upande, ila sioni mantiki ya kulazimisha madiwani wa nccr kuungana na chadema ili kuongoza halmashauri. ikitokea hivyo itakuwa vizuri kwa mustakabali wa wanauvinza.
 
NCCR: CHADEMA: CCM
6:7:8.
NCCR inautaka uenyekiti ili Mweyekiti aweze kushirikiana vizuri na Mbunge, jimbo la Uvinza (Kigoma Kusini) liendelee kuwa mikononi mwa NCCR. Hiyo ndiyo mantiki, mengine ni uzushi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…