MAFILILI
JF-Expert Member
- Apr 28, 2011
- 2,377
- 1,200
CHADEMA ni muhimili wa upinzani nchini Tanzania hatahivyo wameshindwa kuleta mabadiliko kutokana na mwenendo wao wa kuendesha shughuli za kisiasa kimazoea.
Nachukua fursa hii adimu kuwaasa CHADEMA kupitia kwa Dr Kitila Mkumbo kuwa huu ni wakati muafaka kwa chama chao kuonyesha siasa za dhati kuelekea mabadiliko nchini mwetu ili kuleta maisha bora kwa watanzania. Ili wafikie pahala pa kuwa kielelezo cha mabadiliko nchini yapaswa chama kivae taswiraya chama cha siasa kutoka kwenye taasisi y watu wateule wanaopiga debe la mageuzi ya kisiasa pasipo kuwa na dhamira ya dhati kuwaongoza watanzania. Badala yake CHADEMA kimebaki ni chama kinachoongoza kwa malumbanoi na taasis za kidola kama vile Polisi hivyo ina athari kwa ustawi wa chama kwani watanzania wanaunganisha CHADEMA na maandamano.
Dr. Kitila huu ni wakati muafaka kwa kutoa ushauri kwa Mtendaji Mkuu wa Chama,Dr, Slaa aache dhana ya kutumia maandamano kuwa ni silaha pekee ya kuitoa CCM madarakani. CCM inatakiwa irudi kwa vijana ili CHADEMA wazidi kupotea katika ramani ya kisiasa mkoani Mtwara.