Chadema kunani huko?

MSHERWAMPAMBA

JF-Expert Member
May 22, 2014
341
119
Haya tena wajameni,mimi kuna kitu kinanikwaza sana siku hizi,mbona viongozi wengi wa chadema siku hizi wanahamia chama tawala,hii imekaaje sasa?au watu wa ccm wanawanunua au kuna kitu kinachowapelekea wanachadema kukihama chamandio ni aje sasa,kasi ya baadhi ya wanachadema kukihama chama chao inakuwa ni kubwa sana ni afadhali ingelichunguzwa ndani ya chama ili kujuwa huu usaliti wa namna hiyo unatokana na nini au ni pesa za ccm ndizo zinazowapelekea kukihama chama?naomba nifahamishwe vizuri kuhusu hilo,ndugu yenu Msherwampamba.
 
Back
Top Bottom