Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,776
- 34,761
Kuna sehemu CHADEMAnawakubali Sana, mm sio irrational Mimi ni mtu makini na mwenye akili timamu. Sio sababu siipendi chadema basi nitakua nachukua kila kitu chao.
Kuna sehemu chadema nawakubali Sana, kwenye masuala mazima ya misosi, a.k.a maakuli, maanjumati. Kwenye hiki kipengele wapo vizuri sana.
Mfano baada ya kukusanya michango, nilimuona Lissu akitumbua minyama, Pumbalu na mwanapaya wakjichana chips na mishikaki, huku mbowe akila pweza gizani.
Hili nimetokea kulikubali sana maana ili kazi za chama zifanyike lazima watu wale, washibe wafanye kazi. Hivyo kwa vyama vingine ni mfano wa kuigwa huu.
Chadema wanatukumbusha kuwa Tumbo halitembei na mjinga, hata kama unapitia magumu gani kula ni muhimu.