CHADEMA sasa hivi kumekosa nidhamu.Kila mtu anakuwa msemaji wa chama kwenye mitandao na vyombo vya habari.Mimi kama mlipa kodi ambaye pesa yangu hutumika kama ruzuku kwa ajili ya CHADEMA naomba kalisheni wanachama wenu wawe CHASO,BAVICHA,BAWACHA na CHADEMA yenyewe na wajumbe wenu wa kamati kuu na viongozi wenu mpeane semina elekezi nani anatakiwa kuwa msemaji.Sasa hivi CHADEMA kimekuwa kama chama kilichoko mnadani ambako dalali akionyesha bidhaa kila mtu anaropoka bei yake.
Waandishi pia wa vyombo vya habari ni vizuri wakaelewa wakitaka habari za uhakika kabla ya kuzichapisha au kutangaza wazipate kwa nani hasa.CHADEMA kwa sasa kuna tatizo hasa la utoaji habari.
Hivi kusema nako ni kupindua kumbe? Kiswahili kinakuaCHADEMA sasa hivi kumekosa nidhamu.Kila mtu anakuwa msemaji wa chama kwenye mitandao na vyombo vya habari.Mimi kama mlipa kodi ambaye pesa yangu hutumika kama ruzuku kwa ajili ya CHADEMA naomba kalisheni wanachama wenu wawe CHASO,BAVICHA,BAWACHA na CHADEMA yenyewe na wajumbe wenu wa kamati kuu na viongozi wenu mpeane semina elekezi nani anatakiwa kuwa msemaji.Sasa hivi CHADEMA kimekuwa kama chama kilichoko mnadani ambako dalali akionyesha bidhaa kila mtu anaropoka bei yake.
Waandishi pia wa vyombo vya habari ni vizuri wakaelewa wakitaka habari za uhakika kabla ya kuzichapisha au kutangaza wazipate kwa nani hasa.CHADEMA kwa sasa kuna tatizo hasa la utoaji habari.
Aiseee mahaba yako kwa CHADEMA mpaka yamepitilizawewe kijana
CHADEMA sio kama CCM....CCM ni chama cha majawambazi
Mkuu, uliwahi kuishi kwenye familia ambayo nyumba wanayoishi imeuzwa? Unadhani kunakuwa na nidhamu tena ya nyumba? Ndivyo inavyowatokea CHADEMA. Baada ya kuuza chama kwa Lowasa sasa hivi kila mtu anajaribu kujijengea umaarufu wake mwenyewe. Kumbuka pia kauli ya Babu Duni kuwa ndani ya CHADEMA kila mtu ni kambale