CHADEMA kuna mapinduzi? Mbona kila mtu ni msemaji wa CHAMA?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,911
51,889
CHADEMA sasa hivi kumekosa nidhamu.Kila mtu anakuwa msemaji wa chama kwenye mitandao na vyombo vya habari.Mimi kama mlipa kodi ambaye pesa yangu hutumika kama ruzuku kwa ajili ya CHADEMA naomba kalisheni wanachama wenu wawe CHASO,BAVICHA,BAWACHA na CHADEMA yenyewe na wajumbe wenu wa kamati kuu na viongozi wenu mpeane semina elekezi nani anatakiwa kuwa msemaji.Sasa hivi CHADEMA kimekuwa kama chama kilichoko mnadani ambako dalali akionyesha bidhaa kila mtu anaropoka bei yake.

Waandishi pia wa vyombo vya habari ni vizuri wakaelewa wakitaka habari za uhakika kabla ya kuzichapisha au kutangaza wazipate kwa nani hasa.CHADEMA kwa sasa kuna tatizo hasa la utoaji habari.
 
wewe kijana

CHADEMA sio kama CCM....CCM ni chama cha majawambazi
 
Hivi kusema nako ni kupindua kumbe? Kiswahili kinakua
 
Mkuu, uliwahi kuishi kwenye familia ambayo nyumba wanayoishi imeuzwa? Unadhani kunakuwa na nidhamu tena ya nyumba? Ndivyo inavyowatokea CHADEMA. Baada ya kuuza chama kwa Lowasa sasa hivi kila mtu anajaribu kujijengea umaarufu wake mwenyewe. Kumbuka pia kauli ya Babu Duni kuwa ndani ya CHADEMA kila mtu ni kambale
 
Kwani ccm msemaji wa chama ni nan Mara jumuiya ya wazazi Mara uvccm Mara sendeka Mara rais wafukuze wanaopinga usipewe uenyekiti
 
Mbona huko kwenye akina abdala sijui bulambo sijui nani kila mtu anaongea lakini watu hawasemi? Inaonekana moto wa 2015 25 10 bado unawababua
 
Huko kwenu nani msemaji
Sendeka alitoa kauli Mang'ula akaikana
Shaka kila siku anatoa matamko
Je ni Kinana
Ni Vuai Ally Vuai
Ni Balozi Idd
Sasa kubwa lao ameeingia, ni Bulembo anatoa amri wanachama wajitoe au wafukuzwe
Bado Baba J atakuja na yake
Tusimsahau JK bado mwenyekiti
Au ni Jecha Salum Jecha?
Habari ya boriti na kibanzi nadhani unaijua vema
 
Hiki sio Chama MTU kama CCM, Chadema kila ngazi ya uongozi INA idara zote, Kukiwa na Mwenyekiti lazima kuwe na Makamu wake na Makatibu pamoja
na Wasemaji,

Sio kama CCM

Hapa kuna uhuru Chadema
 
Usifananishe CHADEMA na hicho CHAMA CHA MAJAMBAZI kilichoiingiza hii nchi katika umasikini wa kutupwa
 
CCM mpaka RPC ni msemaji wa chama.Tumemsikia RPC wa Dodoma akitoa matamko yanayopaswa kutolewa na Ole Sendeka!
 
Mkuu, uliwahi kuishi kwenye familia ambayo nyumba wanayoishi imeuzwa? Unadhani kunakuwa na nidhamu tena ya nyumba? Ndivyo inavyowatokea CHADEMA. Baada ya kuuza chama kwa Lowasa sasa hivi kila mtu anajaribu kujijengea umaarufu wake mwenyewe. Kumbuka pia kauli ya Babu Duni kuwa ndani ya CHADEMA kila mtu ni kambale

ni kama kila mmoja anajiokoa atoke vipi

mbowe bana...halafu eti mtetezi wa wanyonge,
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom