Chadema kuna Kikundi ila CCM kuna Makundi!

Chadema kuna Kikundi ila CCM kuna Makundi!

Wengi wanadhani Komredi Makonda ana jambo lake na CHADEMA, hapana Mwenezi hana Shughuli yoyote na CHADEMA

Komredi Makonda ana Jukumu moja tu la kuhakikisha CCM chini ya Mwenyekiti Rais Dr Samia Suluhu Hassan inakuwa moja

CCM kuna Makundi na Chama kinaamini Umoja ni Ushindi so Makonda atayauwa Makundi Yote na kuibakiza CCM ikiwa Moja yenye Umoja

Mlale Unono 😀😀
Je atawaweza wahuni watakao shupaza shingo zao ??!
Polepole anawajua vizuri 😅😅🙏🙏
 
Back
Top Bottom