Bado siku chache Bunge kujadili Ripoti ya CAG, ujio wa Makonda ni Wakati muafaka!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,138
Ripoti ya CAG iliyosheheni madudu kibao itajadiliwa katika Vikao vya Bunge la keshokutwa yaani November

Miaka ya nyuma Chadema ndio walikuwa tegemeo la Taifa kwenye kuwabana Mafisadi bungeni lakini kwa bahati mbaya sasa Wana Mbunge mmoja tu

Tumaini pekee la Watanzania ni Mwenezi mpya wa CCM komredi Makonda ambaye ndiye Boss wa Itikadi ambayo ndani yake kuna Maadili ya Viongozi

Tuzidi kumuombea

Mlale Unono 😀😀
 
Mlale Unono
So sad
JamiiForums-565905357.jpg
 
Back
Top Bottom