Mkuchika atauona mpilipili na maua yake.Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
Naandalizi ya maandamano yanaendeleaje...Maandalizi ya maandamano yapo tayari
Huwezi pata haki yako ukiwa umestarehe chini ya mwembe unacheza bao - NEVA EVA
Huwezi pata haki yako ukiwa kijiweni unapiga story na kikombe cha kahawa - NEVA EVA
CDM lazima uitafute haki yenu ikiwezekana hata kwa nguvu kama hamtasikilizwa. Mabadiliko yoyote ya kiutawala wa sheria na demokrasia ya kweli haiji kama mkondo wa maji bali lazima jasho likutoke.
YES, demokrasia ina athari / Machungu yake, lakini you MUST do it today for the better of tomorrow.....by the time Demokrasia ya kweli inatokea unaweza jikuta wewe mpiganiaji huna Mguu, Jicho au hata hauna maisha tena lakini utakuwa umetimiza wajibu wako na utakumbukwa daima kama kwanamapinduzi wa kweli.
Simama -- pigania haki yako:
Uzalendo gani unaoongea wewe? watanzania wa leo si wale wa miaka ya 70 kama wewe unavyofikiri, nani asiyejua nchi inauzwa? nani asiyejua njisi mali ya umma mnavyojigawia? sasa unataka watu wake kimya then you call it Uzalendo? get lost mzee!!!! Your days are numbered.Rejea maandishi mekundu hapo juu. Ndicho mnachokitafuta. Hata hivyo mjue kuwa Wazalendo wa kweli tuko tayari kusaidiana na vyombo vya dola kulinda amani ya nchi yetu kwa gharama yeyote ile.
Walio na kichwa ngumu...karibuni kwenye upuuzi wenu wa maandamano....na muwe tayari kuvunjwa viuno, shingo, mataya na kupoteza viungo kama mnavyoponzwa hapo juu. Atakayeingia mkenge asiseme hakuonywa!. Hivi hamwezi kutumia muda wenu kwa kazi za manufaa? Wavivu wakubwa!
Uzalendo gani unaoongea wewe? watanzania wa leo si wale wa miaka ya 70 kama wewe unavyofikiri, nani asiyejua nchi inauzwa? nani asiyejua njisi mali ya umma mnavyojigawia? sasa unataka watu wake kimya then you call it Uzalendo? get lost mzee!!!! Your days are numbered.
call me whatever you want, lakini kwenye haki lazima watu wasimame, we will do it today kwa faida ya kizazi kijacho, na hivyo vitisho vyenu havitasaidia kitu my friend, dunia ya leo si ile -- seems like your very far behind... applying those old Politics Techniques / Models.. ur doomed...You are angel of death.
<br />Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...<br />