CHADEMA - kumpinga Mkuchika kwa maandamano

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
 
Last edited by a moderator:
Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...
Mkuchika atauona mpilipili na maua yake.
 
Last edited by a moderator:
Ccm sheria wameziweka wenyewe na kuzivunja ndo wao wakwanza kuzitafsiri wanashindwa sijui ni lipi wanaliweza
 
Wanaa Arusha Lazima wakatae vitendo vya kudhalilishwa na serikali ya Magamba CCM kwa vitendo lazima wakatae vinginevyo watu wanataka kujifanya wao wako juu ya sheria who is Mkuchika atakaye dharau sheria za nchi ,Maandamano kwa mbele na msiogope muwe na ujadiri ,whi knows lagda arusha itakuwa ndio chanzo cha ukombozi wa nchi yetu
 
Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...

Hawa nao vipi?
 
Last edited by a moderator:
Walipwe posho, aaah! Hiyo nayo balaa, basi hao madiwani walikuwa meza moja na ccm.
 
Na yale maandamano ya kumpinga meya yapo palepale,tunaamia kabisa pale halmashauri hadi kieleweke,
 
Huwezi pata haki yako ukiwa umestarehe chini ya mwembe unacheza bao - NEVA EVA
Huwezi pata haki yako ukiwa kijiweni unapiga story na kikombe cha kahawa - NEVA EVA

CDM lazima uitafute haki yenu ikiwezekana hata kwa nguvu kama hamtasikilizwa. Mabadiliko yoyote ya kiutawala wa sheria na demokrasia ya kweli haiji kama mkondo wa maji bali lazima jasho likutoke.

YES, demokrasia ina athari / Machungu yake, lakini you MUST do it today for the better of tomorrow.....by the time Demokrasia ya kweli inatokea unaweza jikuta wewe mpiganiaji huna Mguu, Jicho au hata hauna maisha tena lakini utakuwa umetimiza wajibu wako na utakumbukwa daima kama kwanamapinduzi wa kweli.

Simama -- pigania haki yako:
 
Rejea maandishi mekundu hapo juu. Ndicho mnachokitafuta. Hata hivyo mjue kuwa Wazalendo wa kweli tuko tayari kusaidiana na vyombo vya dola kulinda amani ya nchi yetu kwa gharama yeyote ile.

Walio na kichwa ngumu...karibuni kwenye upuuzi wenu wa maandamano....na muwe tayari kuvunjwa viuno, shingo, mataya na kupoteza viungo kama mnavyoponzwa hapo juu. Atakayeingia mkenge asiseme hakuonywa!. Hivi hamwezi kutumia muda wenu kwa kazi za manufaa? Wavivu wakubwa!
 
Uzalendo gani unaoongea wewe? watanzania wa leo si wale wa miaka ya 70 kama wewe unavyofikiri, nani asiyejua nchi inauzwa? nani asiyejua njisi mali ya umma mnavyojigawia? sasa unataka watu wake kimya then you call it Uzalendo? get lost mzee!!!! Your days are numbered.
 
You are angel of death.
 
You are angel of death.
call me whatever you want, lakini kwenye haki lazima watu wasimame, we will do it today kwa faida ya kizazi kijacho, na hivyo vitisho vyenu havitasaidia kitu my friend, dunia ya leo si ile -- seems like your very far behind... applying those old Politics Techniques / Models.. ur doomed...
 
Kapten Gearge Mkuchika akiwa ni mmoja kati ya watu wengi sana nchini walioomba kazi uhudumu katika ofisi za umma, hana budi kuheshimu katiba ya nchi inayomuweka kazini, sheria zetu na sera za misingi yote ya utawala bora; mpaka hivi sasa haijulikani wazi kwa kaamua kutumia sheria za nchi gani kuingilia sakata la Meya Chatanda kule Arusha.

Jambo hili likiendelea saaaana huenda ikatunyima nafasi za kuvutia wwekezaji huko duniani kwa sabu tafsiri ya utawala wa kisheria utakua imeingia kusiko kwa mujibu wa taasisi kadha za ndani ya nchi na kimataifa zinazojishughulisha mambo kama haya.
 
Ni kupinga barua iliyoitoa ya kutaka mkurungezi wa Arusha kuwaruhusu na kuwalipa malipo yotewanayopaswa kulipwa madiwani licha ya CHADEMA kuwafukuza...<br />
<br />
<br />
Mkuu! Mambo haya ni lini? Mi ningetamani hata yawe leo leo ama hata kesho. Maana hw mapapa wanatusadiki tu,na safari hii bila shaka ni kwamba kutaeleweka hapa Arusha na haiwezekani kodi 2nazolipa kila leo wakina Yuda wasaliti waendelee kujinenepesha nayo. Kamwe haiwezekani.
 
Last edited by a moderator:
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom