CHADEMA kumburuza Dk. Magufuli kortini

Ukisoma comments za maccm,wanaonekana wamepanic sana na kuchanganyikiwa, hawaongei la maana zaidi ya kutukana na kejeli
 
nasikia ccm wataanza kuvaa fulana za chadema kwenye mikutano yao kuanzia wiki ijayo. nimepata hizo taarifa leo
 
Fight for Nembo Ukawa,go go go mkaikomboe nembo yenu....wanasiasa bna hivo vitu tunajua nivya kucheza namind za watu ili wawesambamba naww katka jambo flani....sasa vitu persona hivo...unashitaki kiivo....
 
KTK kifo, lazima URUSHE miguu na kujikakamua... CCM imekufa...!!
 
#hapakazitu imewashinda mnaanza kudandoa slogans za watu wengine kwakweli ccm imefilisika kwa kila kitu.
 
Sikia Ukawa Tuwaambie,nyie Pelekeni Kesi Sijui Madai Lakini Mjue Kesi Yenu Mahakimu Wataisikiliza Baada Ya Hon.John P Magufuli Kuapishwa Kuwa Raisi Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania...!!

utawala wa kijuha namna hii hautufai kwa karne hii.

ndio maana tunasema ccm imeoza na haifai tena.
mabadiliko ni lazima
 
Yashitakiwe tu, kwani yamezoea kuiba hakuna namna nyingine ya kukaa na jambazi.
 
kwan kuna umiliki halali wa hiyo nembo yeye katafsiri kama mnavosemaga Chama Cha Mafisadi(CCM)
 
Change wanayoitaka watanzania ni kuitoa ccm madarakani, change ipi anayoitaka magufuli? Kwani kawa mpinzani?
Aendelee na porojo zake za kufufua viwanda ndani ya miaka mitano, anaweza akapata wajinga wachache wakamuamini. Kudesa kauli za ukawa atadhihirisha watu alivyo na upeo mdogo wa ubunifu, na kura zake zitazidi kupungua.

Mfumo hauwezi kujibadili wenyewe unabadilishwa na mfumo mwingine.
 

Labda huyo mwanasheria wenu anatafutwa kutajwa tu!
M4C ndio nembo ya nini? Labda kingukuwa kichaga, lkn hayo ni maneno ya kiingereza ambayo si malya wala Mbowe walioyatunga!
Malya amesahau kuwa mfumo mzima wa uendeshaji chadema ni copy paste ya ccm with minor adjustment! Wataanza wao kufungwa kwa kuiga mfumo mzima wa uendeshaji chama!
 
Aibu kubwa kwa ccm, VIVA CHADEMA IVA UKAWA. Ushindi upo wazi kabisa, Ikulu ni ya wapinzani bila chenga. EWE MWENYENZI MUNGU UTULINDE DHIDI YA ILA ZA YULE MUOVU SHETANI, UILINDE AMANI YETU IWE AMANI YENYE MAFANIKIO NA YA KUDUMU.
AMINA.
 
Siku anaapishwa mh edward ngoyai lowassa kuwa rais wa jamuhuri ya muungano wa tanzania baada ya

uchaguzi mkuu october 2015 ndipo utakapoamini kwamba ccm haina mkataba wa kuitawala tanzania.

Lowassa anasubiri tuu kuapishwa. Kubali au ukatae wewe apo!
 
Kwa hiyo sasa mmeanza kugombaniana kutumia neno M4C?!, na nyie CCM mnataka muwe mnasema, MABADILIIKOOO, MAGUFULII, MAGUFULIII, MABADILIKOOO, teh teh teh!! Basi muwe mnasema na peeopleeesssss!
 
hivi, mtu anaepora maneno(kauli mbiu) uadilifu wake upo wapi!
hapa bado hajawa raisi, je akiwa si atapora mpaka.............
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…