Kama wewe ulivyo mpumbavu na wenzako msiojitambua.Ccm hawako timamu vichwan mwao mnashabikia upumbavu unaowamaliza wenyewe hamuwezi kuleta rasimu haina kichwa wala miguu
Wachaga nyie kazi yenu ujambazi siasa siyo zenu rudia kwenye taruma yako.RASIMU YA SITTA: Kutakuwa na mahakama za juu mbili zenye mamlaka sawa, Mahakama kuu ya Jamhuri ya muungano na Mahakama kuu ya Zanzibar.....pathetic!!!!
RASIMU YA SITTA: Kutakuwa na tume ya mipango ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania
KATIBA YA ZANZIBAR: Kutakuwa na tume ya mipango ya nchi ya Zanzibar....!
RASIMU YA SITTA: Kutakuwa na akaunti ya pamoja ya fedha kati ya Tanzania bara na Zanzibar
KATIBA YA ZANZIBAR: Kutakuwa na akaunti ya fedha kwa nchi ya Zanzibar..!
Kama wewe ulivyo mpumbavu na wenzako msiojitambua.
Duh! Naona CCm, Mr six na mafisadi waliojazana Dom (aka Wajumbe wa BMK) wamelowana sana kutokana na hukumu ya jana ua High Court. Ingekuwa wao ndiyo wameshinda, basi wangekuwa wa kwanza kuitisha press conference kumuumbua Kubenea.
ewe Mungu Mkubwa! Watokomeze hawa mafisadi!
Watuambie na alipo mhuni Mbowe. Yaani unaitisha maandamano halafu unasepa!
Wachaga nyie kazi yenu ujambazi siasa siyo zenu rudia kwenye taruma yako.
CCM 2mechoka nao
.... Najua Kuna Tamko Kali Sana Litatolewa, Ccm Wakisikia Press Conference Ya Cdm Matumbo Yanatetemeka
Kati ya mboe na huyo mwehu sita nani muhuni hapo
Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA leo kimeitisha mkutano na waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho jijini DSM.
Mkutano huu ni baada ya Mahakama Kuu jana kutoa hukumu kwenye kesi Na. 28 ya mwaka 2014 iliyotaka kupata tafsiri ya vifungu vya 25(1) na 25(2) vya Sheria ya Marekebisho ya Katiba Namba 83 ya mwaka 2011;
Hukumu ambayo imeweka precedence ya kisheria na kisiasa katika kile kinachoendelea kwenye Bunge Maalum la Katiba;
Akithibitisha habari hizi msemaji mkuu wa Chadema Tumaini Makene amesema chama kitakutana na waandishi wa habari leo Ijumaa, saa 6 mchana.
Ikumbukwe juzi Jumatano mbunge wa Bariadi Andrew Chenge aliwasilisha katika Bunge la Katiba kile kinachodhaniwa na wengi ni Rasimu ya Katiba ya CCM huku wakitupilia mbali maoni yote ya wananchi yaliyokusanywa na tume ya Jaji Joseph Warioba.
Sasa yanahitajika mapinduzi ya silaha nasio demokrasia tena.