Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Chadema kukusanya saini million 15 nchi nzima za watanzania wanaounga mkono kampeni yao ya mabadiliko nchini na kisha kuiwasilisha kimataifa.
" Chama Kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kimesema kitakusanya saini za watanzania milioni 15 wanaounga mkono kampeni yao ya mageuzi ya 'no reform no election' na kuziwasilisha Umoja wa Mataifa."
Chama hicho kinasema hakiwezi kwenda katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu, bila kuwa na mabadiliko ya sheria za uchaguzi, Katiba na mifumo mingine ambayo inatoa mwanya kwa Chama tawala CCM kuendesha uchaguzi usio wa huru na haki.
Saini hizo million 15 zitachangia kushinikiza mabadiliko ya kiuchaguzi kwamba uchaguzi ukifanyika bila sauti za wananchi hao ni batili je inaweza kuingiza nchi kwenye mabadiliko?
Je, samia atalazimisha uchaguzi bila watanzania million 15 kutaka mabadiliko kwanza ?