Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,560
- 7,914
Chama kikuu cha upinzani cha CHADEMA kujiondoa kwenye uchaguzi ni kama nchi nzima kususia uchaguzi wa nchi.
Hakuna mtu atakayeenda kupiga kura na watu wasipo piga kura karibu nchi nzima, mtu asitokee akajitangaza kuwa ni Rais, hakuna Rais bila kupigiwa kura na wananchi nchi nzima na kuridhia yeye awe Rais huku nikupeleka nchi kwenye machafuko na mageuzi.
Usipo pigiwa kura na wananchi uwezi kuwa Rais bali muhalifu na muhaini unapokonya haki za watanzania mziki hautakuwa mdogo.