CHADEMA kuiteka Pwani

Bila chadema hii nchi kwishiney. Hata huyu msalani hawezi pata hiyo ajira yake toka kwa nape
 
mkutano wa chadema umedoda sana leo, kulikuwa na watoto tu wanashangaa chopa
 
vijana wako juu ya fuso ya chadema, huyo mwenye njano ameshika kiroba.

Na serekali imeshachukua kodi ya hicho kinywaji shida nini wewe ....
Rudia maneno yako tena kuleeee nikujibu.
 
Mbona CDM ilishakufa, labda wakafanye
Postmortem. R.I.P CDM Tulikupenda, ila Mungu amekupenda zaidi, Mwanga wa milele umuangazie eeh Bwana........ Apumzike kwa Amani.

Amen!!!!!!!!!!
 
Unajua with hawajui. Chadema imesaidia hats makada ya ccm kupata posh za semina zao wanazoitishana kila cku ili kuikabili cdm maana mainterharamwe hayapati ucngiz hata kidogo.
 
Pwani si ndiko walikokimbizwa kauchaguzi kadogo.
 
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day
haaa haaa! Mkuu hapo pana asili ya kaukweli...
 
Chadema ingieni vijijini, muda unakwenda mwaka 2015 sio mbali, msije tafuta tena mchana!
 
Ratiba ya leo...

1.Mhoro-RUFIJI. 2.Bungu-KIBITI. 3.Kimanzichana
-MKURANGA. 4.Msimbu-KISARAWE. 5.Chanzige -KISARAWE.
Nimeona muhoro nimefarijika sana..mm nmefanya field huko wananchi huko wamalala sana..
 
CDM ni noumaaaaaa..... Kazi yetu ni kuchuna magamba ibaki ngozi swaaafi
 

Tutaenda kuziona helikopita tu ... lakini kura aaaaaaa wapi ..... tutafanya yale yale ya Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…