CHADEMA inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya Mkoa wa Pwani leo.
Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.
Itaongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chama, JJ Mnyika.
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the dayCHADEMA inaanza operesheni ya chopa kwa siku 2 katika maeneo mbalimbali ya majimbo yote ya Mkoa wa Pwani leo.
Operesheni hiyo itakayohusisha mikutano ya ndani na hadhara italenga ujenzi na kukagua uhai wa chama.
Itaongozwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Chama, JJ Mnyika.
Ratiba ya leo...
1.Mhoro-RUFIJI. 2.Bungu-KIBITI. 3.Kimanzichana
-MKURANGA. 4.Msimbu-KISARAWE. 5.Chanzige -KISARAWE.
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.
Muwaeleze na wananchi Ruzuku zaidi ya milioni mia mbili kila mwezi huwa mnaipeleka wapi.
Kama hutaokota makopo mwaka huu basi lazima upange kwa muda pale milembe maana akiri zinaenda mbio zaidi ya uwezo wako wa kufikiri
Wenzio waliyaona yale mapikipiki, maford huko nyuma na vinginevyo au unafikiri viliteremshwa tu toka mbinguni au unadhani Chadema ni Mafisadi kama maccm kiasi wanaficha vyanzo vya mapato yaliyowezesha kununuliwa kwa vifaa hivyo, umechemsha mkuu
BACK TANGANYIKA
Fedha za msaada ndiyo zishaanza kutumika hivyo?This Party is really good when it comes to bad investment and it never learns.They are becoming pathetic by the day