Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,481
- 14,841
Kamati Kuu ya CHADEMA imepanga kukutana tena June 03, 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya siasa kisha itatoa mwelekeo
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiongea Jijini Arusha leo July 28,2025 amesema "Mmemsikia Msajili wa Vyama ameifutia CHADEMA ruzuku, ametishia kukifuta Chama cha CHADEMA, maamuzi tuliyotoa May 23 na May 24 ni maamuzi ya Kamati Kuu sio ya kwangu, tumeitisha Kamati Kuu ya Chama June 03,2025 tunarudi Mkutano Mkuu kujadili barua ya Msajili na tutatoa mwelekeo"
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Itakumbukwa jana May 27,2025 Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania alitangaza kusitisha kutoa ruzuku kwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hadi pale watakapotekeleza maelekezo ya Ofisi ya Msajili kutokana na Msajili kusema Chama hicho hakina Viongozi wanaoweza kusimamia mapato, matumizi na marejesho ya fedha hizo za Umma ambapo hatua hii ilikuja siku mbili tangu Kamati Kuu ya CHADEMA iazimie kuwa haitofuata uamuzi wa Msajili wa kutengua uteuzi wa Wajumbe wanane wa Sekretarieti na Kamati Kuu ya Chama hicho waliothibitishwa na Baraza Kuu la Chama hicho January 22,2025.