barua ya msajili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Majibu mazito ya CHADEMA kwa Msajili, yagomea tishio la kufutwa au kutozwa faini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewasilisha majibu rasmi na mazito kwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, kikikataa tuhuma zote za ukiukwaji wa sheria zilizoelekezwa dhidi yake katika barua ya Msajili yenye Kumb. Na. HA.322/362/16A/22 ya tarehe 07 Mei 2026. CHADEMA kimesema kuwa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Hatutafuata Maelekezo ya Msajili kumtengua Mpina kuwania Urais, tutafungua kesi Mahakamani

    Chama cha ACT Wazalendo kimepokea taarifa kutoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa juu ya uamuzi wake wa kutengua ugombea wa Ndugu Luhaga Joelson Mpina kuwa Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya ACT Wazalendo. Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama inaipitia kwa umakini...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Heche aongoza kikao cha Kamati Kuu CHADEMA. Wajadili barua ya Msajili

    Makamu Mwenyekiti wa Chama (Bara), HecheJohn ameongoza kikao cha Kamati Kuu ya Chama leo Juni 3 2025 Makao Makuu ya Chama Mikocheni Dar es salaam, ambapo pamoja na mengine wamejadili barua ya Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu zuio la ruzuku ya chama. Kwa mujibu wa taarifa ya CHADENA, baada ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA kuijadili barua ya Msajili Juni 3.2025

    Kamati Kuu ya CHADEMA imepanga kukutana tena June 03, 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya siasa kisha itatoa mwelekeo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiongea Jijini Arusha leo July 28,2025 amesema "Mmemsikia Msajili wa Vyama ameifutia CHADEMA ruzuku, ametishia kukifuta...
Back
Top Bottom