assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
tusipokuwa makini kwa jinsi chadema wanavyoendesha siasa jijini arusha huenda watalii wakapungua sn na kshusha mapato ya utalii, suala la maandamano na vurugu kwa sasa havina tija kwa wananchi wa arusha ambao wengi wanategemea biashara ya utalii.
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.

na utalii ni zaid chadema
......chadema ni zaidi ya oksijeni arusha...pole kajipange upyaa.......
Mapambano na polisi bila shaka itakimbiza watalii hilo halina ubishi and watu wakawaida ndo wataoathirika kwa kukosa ajira na kwa kuwauzia bidhaa watasha
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
Wameandamana lini tena? Inaonekana bila kutaja Chadema kabla ya kulala hutapata usingizi..TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
mkuu mbn povu linakutokadodoma, singida, mbeya, lindi, nk. Wanaishi kwa utalii? Acha kutishia watu wewe!
Huo utalii unakufaidisha wew na hao mashetani wauaji.
Kwa hiyo tunyamaze maccm waendelee kubaka nchi kwa kisingizio kwamba utalii unashuka na kuhatarisha amani? Usirudie tena kuleta taarifa za uoga kama hii.
TUSIPOKUWA MAKINI KWA JINSI CHADEMA WANAVYOENDESHA SIASA JIJINI ARUSHA HUENDA WATALII WAKAPUNGUA SN NA KSHUSHA MAPATO YA UTALII, SUALA LA MAANDAMANO NA VURUGU KWA SASA HAVINA TIJA KWA WANANCHI WA ARUSHA AMBAO WENGI WANATEGEMEA BIAshara YA UTALII.
mkuu mbn povu linakutoka
we mavi kunuka toa ujinga wako hapa
na utalii ni zaid chadema