Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 38,638
- 49,048
Hakuna tofauti na recycle bin, Kule ambako kila material ambayo haihitajiki hupelekwa,
Chama kinapokea rejects, watu waliokua disappointed na kuona kwamba hawatapata nafasi tena huko walipokua, wanageuka mashujaa.
Kwa minajili hiyo CHADEMA will always second CCM katika kila hali, maana waliokwenda huko hawana nia ya dhati ya ukombozi bali kulinda tu heshima na maslahii binafsi.
Mtu anapiga hesabu anaona hakubaliki, au hatapata nafasi anasema CCM ni mafisadi anakimbilia CHADEMA, na huko anakokwenda wanampokea kwa mikono miwili bila kuuliza muda wote ule uliokua unanafasi kwanini hukuwahi kuja huku, leo wakati umekataliwa ndio ujione mtetezi wa haki??
Sidhani kama uongozi wa Chadema unawatendea haki wanachama wamda mrefu waliopoteza muda wao, na kuwapokea watu ili waje kugombea tu, ni jambo la wazi kabisa kua ni personal gains na si kwa benefit of all.
Sasa kwa siasa hizi za kupokea makapi, Chadema inakua kama recycle bin, kila reject inkua stored pale, inaleta picha kua, Chadema kipo kwa ajili ya kutimiza malengo ya watu binafsi.