Unamaanisha Oil Chafu.
Ndiyo oil chafu kama Juliana shonza na akina Mwampamba
Unamaanisha Oil Chafu.
naheshimu id yako tu jina la mwanangu hili ila wewe ni popoma
kwa hiyo tukusaidieje??
Waliokosa haki yao huku CCM wafanyaje? Hawana namna nyingine ya kuonyesha HISIA zao upande wa pili.
kwa hiyo tukusaidieje??
Maana halisi ya makapi ni kile kitu kilichoachwa baada ya kuonekana hakifai, je kwa hawa Madiwani wa CCM wanaoondoka CCM na kuingia CHADEMA wameachwa na CCM au wamefukuzwa uanachama? kama jibu litakuwa hapana sidhani kama hiki ulichokiandika kitakuwa na maana halisi unayokusudia
Sure !Waliokosa haki yao huku CCM wafanyaje? Hawana namna nyingine ya kuonyesha HISIA zao upande wa pili.
Chadema walishasema wao hawapokei makapi tena yenye chembechembe za ufisadi...sasa naona njaa imekuwa kali Mbowe anarudia matapishiyake..