CHADEMA kufungua TAWI UDSM-DUCE

Mkuu plato, ndo maana tumeambiwa tuntemeke ilikuwa id ya kundi ko kila mtu alikuwa anaandika anachopata kwenye umbea. Lakini kumbuka kwenye kundi kuna watu walikuwa karibu zaid na uongozi wa chama/ni viongozi ndo maana hizo taarika zikawa zinapatikana. Yawezekana yeye ndo mwenye hiyo id au kuna mtu kwenye kundi ndiye aliye ianzisha aafu baadaye kaitoa kwa ajili ya uasi waliokuwa wakiufanya. Kumbuka pia festo ameanza firs year duce mwaka 2009 na mwaka ambao hii id imeanza kutumika ni 2009. Na vijana wengi walokuwa vyuoni wakati huo walikuwa hawaingii sana jf.
 
Kumbee nimebaki nikishangaa!

watu wanafuatilia nani aliyekuwa anatumia hii id. Ukiangalia walioquote mapema jina la katibu ni festo sanga ila baada ya kuona nzi wamejaa choo cha kuflash akajua kwamba amekunya pembeni ikabidi aedit jina la katibu na kuweka ludovic.
 
Na hilo la LUDOVICK kuwa katibu akakosea kwa sababu Ludovick alikuwa mwenyekiti na wala hakuwa katibu.katibu alikuwa jumanne nyakirangh,ANYI.
 
Back
Top Bottom