CHADEMA kufungua TAWI UDSM-DUCE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA kufungua TAWI UDSM-DUCE

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Jun 22, 2011.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  MNAKARIBISHWA SANA KWENYE UFUNGUZI WA TAWI LA CHADEMA UDSM-DUCE MAENEO/VIWANJA VYA TTC SIGARA CHANG'OMBE SIKU YA JUMAMOSI TAR 25.06.2011
  WAGENI TUNAOTEGEMEA KUWA NAO NI
  1.DR.W.P.SLAA
  2.G.LEMA
  3.GH'ILLY-TEMEKE
  6.M.MARANDO
  .NAWENGINE WENGI
  Usafili utakuwepo maeneo yote ya vyuo mfn.Main cumpus,Aridhi,CBE,IFM,TIA,n.k

  VIJANA NI NGUVU YA MABADILIKO,WATANZANIA TUAMKE TAIFA LINATUTEGEMEA HASA KATIKA KIPINDI TASA KAMA HIKI.

  Katibu.LUDOVICK
   
 2. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nilipita tu
   
 3. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asante kwa mwaliko.
   
 4. e

  ebrah JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  asante ndugu kwa mwalimo muhimu, tutavinjari!
   
 5. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Na nyie mnasomba watu kwenye mafuso kutoka vyuoni kwenda kwenye mikutano. Haya tumesikia
   
 6. WISDOM SEEDS

  WISDOM SEEDS JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 782
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Kwani kina nani wengine wanaosomba watu?
   
 7. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Usiwe na wasi wasi, mie naanza kusafili mwenyewe kwa maandamano kutoka huku Aridhini
   
 8. Boniface Evarist

  Boniface Evarist JF-Expert Member

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 26, 2010
  Messages: 1,100
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  jaman hata vyuo vya pembeni 2vikumbuke kama vile Mzumbe, Tumaini, Teku, Mist, st. Joseph zote Dar na Songea. Pia Saut na IAA.
   
 9. e

  ebrah JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 397
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Siku chache zilizopita niliibiwa walet ndani ikiwa na kitambulisho muhimu cha uanachama cha chadema, je ni taratibu gani za kufuata nipate kingine? wana JF mnaofaham au viongozi pls muongozo!
   
 10. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  ppt-maendeleo
   
 11. Gwota

  Gwota JF-Expert Member

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Hongereni wakuu kwa hatua hiyo, Yule aliyesema na vyuo vingine km mzumbe navyo vifungue namkumbusha mzumbe tayari toka 21/05/2011 na waliokuwepo ni Dr slaa, Fred mpendazoe, Regia mtema, Susan kiwanga, Benson Kigaila, John mrema na viongozi wengine wa mkoa. Pili nawashauri nyie Duce swala la kuweka usafiri wa kubeba watu mliondoe coz sio sera ya Chadema hata siku hiyo Dr alipokuwa huku alilisema hilo, Hata hivyo CHADEMA hatuna sababu ya kubeba watu coz watu wenyewe wana hamu na event km hizo. pipooooooz pawaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
   
 12. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  ccm wamejisajiri upya au unafagilia chama kingine na kusahau majukumu aliyokupa msekwa
   
 13. kingxvi

  kingxvi JF-Expert Member

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 883
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ungeenda kuwatangazia duce na udsm ndo pahusika
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,812
  Trophy Points: 280
  weweeeee chama langu hili usilitaje tena
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,445
  Likes Received: 19,812
  Trophy Points: 280
  wewe uko wapi?
   
 16. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  hongereni duce kwa kuendeleza harakati za kuikomboa nchi hii, tuunganishe nguvu kuondoa wakoloni weusi akina .....
   
 17. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,673
  Trophy Points: 280
  Hivi wewe Sanga Festo, kweli wewe ni mwanafunzi wa chuo kikuu kweli? Ardhi unaandika Aridhi, Usafiri unaandika Usafili. wewe ndio Katibu unaandika hivyo sijui waliokuchagua wana hali gani
   
 18. n

  nzom Senior Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ok ila mbona na tarehe hiyo na moshi nao wanasema atakuwepo dk slaa tuwekeni sawa wadau kwani mambo yanachanganya
   
 19. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Akumbushia magamba walivyokuwa wanabeba watu wakati wa kampeni!!
   
 20. M

  Malolella JF-Expert Member

  #20
  Oct 21, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 367
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimekujua sasa TUNTEMEKE
   
Loading...